Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari Sisi tunapima udongo kwa ajili ya kilimo cha kisasa unafaa kwa kilimo na uchimbaji wa visima kuanmgalia kama katika eneio lako kuna maji au hakuna. Unapima udongo ili kujua kama...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Mwani ni majani yanayoota kwenye uso wa maji chumvi (baharini) Mwani kilimo chake si kigumu Kwani mkulima atahitaji tu kujua namna ya kuweka mwani kwenye maji na kisha kuuhudumia Zao la mwani...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Amani ya mola iwe juu yenu wote, Nimeamua kujikita katika uandaaji na utunzaji wa miche ya mazao mbalimbali ya mboga mboga maarufu kama kilimo cha bustani.Mfano wa mazao hayo ni kama vile...
7 Reactions
17 Replies
10K Views
Eneo linauzwa Lina ukubwa wa ekari 3, ukihtaji zaidi waweza ongezewa, eneo lipo wilayan Sengerema kando kando ya ziwa , ni Mita 150 toka ziwani, eneo lipo umbali wa km 60 toka katikati ya mji wa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Heshima mbele wakuu, nimekuwa na wazo kuhusu jinsi ya kujikwamua kiuchumi kwa vijana hapa nchini kwetu katika nyanja za biashara hasa kuhusu kufanya biashara kama wabia, yaani vijana kama 50 ambao...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wanajamii naomba,kama kuna mwenye kuelewa au mwenye mbegu za STEVIA tuwasiliane nazitafuta sana na nimeshindwa kuzipata
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ningependa kuwajulisha wakulima wenzangu wa kanda hii ya ziwa hususa mikoa ya Kagera na Geita ya kuwa tuzitumie hizi neema kwa kuanza kupanda.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwenye mayai ya kanga kwa wingi, yawe yanafaa kwa utotoleshaji tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
3K Views
MWONGOZO AMBAO UTAKUAMBIA KUWA KUKU WAKO NI WAGONJWA Kutokana na ufinyu wa elimu ya mifugo hasahasa (kuku) kwa wafugaji na hivyo kupelekea mfugaji kupata hasara. Leo ningependa tuangazie dalili...
6 Reactions
4 Replies
5K Views
Habar wapendwa.. Naomb kuuliza, ni mazao gani ya mbogamboga yanayofanya vizur maeneo ya kilosa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi ni matumaini yangu kuwa mnaendele vizuri na kumalizia weekend. Niende moja kwa moja kwenye point, Vijana wengi tumekuwa wajasiria mali hasa kwenye ufugaji wa kuku,lakini changamoto kubwa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Bei ya Tikiti Kirumba: 400TSh./Kilo Kawangware Kenya: 35KSh./Kilo Mombasa ZnZ: 800TSh./Kilo Kongowea Kenya: 500TSh./Kilo Makambako: 1,000TSh./Kilo Lushoto: 500TSh./pisi Mwanakwerekwe...
6 Reactions
16 Replies
24K Views
Habari wadau. Natafta mshauri mwelekezi wa uvuvi wa bahari kuu. Awe na ujuzi wa kutosha, weledi na muwajibikaji. Uzoefu wa angalau miezi 6 sita katika tasnia ya uvuvi. Malipo ni makubaliano...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wandugu mie ni mwajiriwa katika taasisi ya kifedha hapa mjini Shinyanga, niko na mwenzangu tumefikiria kuanzia biashara ya matofari kwani ujenzi huku ndio wimbo wa kila mmoja. Nahitaji...
1 Reactions
24 Replies
27K Views
Katika mizunguko yangu ya kazi nilitoka Morogoro nikaenda Mbeya kufanya shughuli zangu za kilimo hasa umwagiliaji, basi nikiwa Mbeya pale kwa kuwa mimi ni mdadisi nitampigia jamaa yangu mmoja...
74 Reactions
189 Replies
96K Views
KICHAA CHA MBWA. Kichaa cha mbwa (Rabies) ni ugonjwa unaowapata wanyama wote wanyonyeshao (Mbwa, Paka, Binadamu, Ng’ombe nk) Ugonjwa huu unasababishwa na kirusi (Rabies Virus) Virusi hawa...
4 Reactions
43 Replies
14K Views
Mimi ni mfugaji katika kutafuta njia za kupunguza gharama za chakula cha mifugo ndipo nilipokutana na maelezo kuhusu Azolla kwamba imewasaidia wafugaji wengi kupunguza gharama za chakula cha...
2 Reactions
27 Replies
14K Views
Niko kwenye majaribio ya kilimo cha papai,aina ya malkia F1, nilinunua packet moja ya mbegu, ambayo ina mbegu 80, hatua ya kwanza niliziloweka kwenye chombo chenye maji safi kwa muda wa suku 5 na...
1 Reactions
39 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…