Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Karibuni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii kitu nimeona kwenye Page ya waindi cjui apa bongo wapi nita pata malengo yangu kufuga samaki na kupanda azola chakula cha mifugo msaada wenu wa kuu asate sana
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Wadau habari zenu. Hivi ukinunua Tela la Trekta ambalo limechongwa hapahapa Bongo, ni lazima kulifanyia usajiri TRA au linaweza kutumia usajiri wa trekta ambalo linaunganishwa? Jee kama lazima...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada nataka nianze kilomo cha nyanya wilaya ya rombo mwezi wa Otoba.ekar moja naomba wenye uzoefu au wataalam.aina gani ya mbegu bora kwa ukanda huo na aina ya dawa...karibuni sana mnishauri.
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Blacksodier ni aina ya nzi weusi ambao wao kidogo wanakuwa na mwili mdogo ukilinganisha na nzi. Blacksodier hufugwa kwa minajili ya kuzalisha funza ambao baadae huja kutumika kama chakula cha...
4 Reactions
15 Replies
7K Views
Habar Wapendwa.. Naomb kuuliza iv taratibu za kukodi shamba zipoje? Nataka nikodi shamba eka mbili mikese sa unaweza jikuta unapewa shamba lenye migogoro, au unatapeliwa.. Na je ikitokea ivo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka niingize kiasi tajwa kwenye kilimo Cha mazao ya muda mfupi,siku 90-180 mavuno,lengo ni kupata 30,000,000 ili nifanye mambo fulani,Ni zao lipi linaweza kunifikisha kwenye kwenye lengo...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
*ryzer agro products* *ni wazalishaji wa miche aina zote za matunda,maua pamoja na miti ya mbao na urembo...* Karibu sana kwetu ujipatie miche ya matunda ya muda mfupi.Tuna miche ifuatayo:- Nazi...
4 Reactions
27 Replies
13K Views
Habari wadau, naomba kuuliza kwa wanajua mtu akihitaji shamba la miti ya mbao lililolimwa tayari lenye miaka kuanzia miwili au mitatu anaweza akapata kwa shilingi ngapi?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, natafuta mtu ambae anatoka kigoma ujiji, niko na kitu fulani nataki anisaidie nae, nataka aende hapo ofisi za kigoma ujiji au kaa kuna mtu anajua nae hapo ofisi za kigoma ujiji...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu habari. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata mugwort. Au duka linalouza mimea asili, sio dawa asili no. Mimea kama karafuu, mugwort, mdalasini, mbegu etc. Naomba msaada
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habarini wana jukwaa. Wanajukwaa naombeni msaada, mimi natafuta mbegu bora ya mpunga (iliyonzuri kibiashara). Naomba mnisaidie kujua ni kampuni lipi linazalisha, libapatina wapi na mawasiliano...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji kununua hao viumbe mdau kwa mwenye aina za hao viumbe ila iwe pure breed fulani isiwe crossed! kama ni royal palm wawe hivo kama ni heritage turkeys wawe hivo kama bronze giant...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ningependa kufahamu ni aina gani ya mazao yanazalishwa huko Bagamoyo kwa mashamba ya wastani hadi makubwa.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kuku wangu, wanakoroma banda zima sasa, (Layers-Bovan Brown) Utagaji umeshuka sana, kuliko maelezo, Nshatumia Erovet-20 (Enrofloxacin) Siku tano mfululizo, lakini bado hali ni tete, wanakoroma...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salam kwenu wakuu. Mimi ni mfugaji/mkulima ambaye nimepitia changamoto nikakwama kimtaji. Naomba kama kuna mdau humu ambae anaweza kunisaidia jinsi ya kupata mkopo au udhamini ili nibust ufugaji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habarini ningependa kuuliza waliopo Iringa na wanaoijua Iringa, vifaa vya hygrometer kwaajili ya kupima unyevu kwenye incubator vinapatikana sehemu gani hapa Iringa mjini? Mimi ni mgeni wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hbr wakuu Naomba kufahamishwa kama Kuna katazo lolote au kibali chochote kumiliki hii mashine kama tool katika farmkit. Kuna shamba kubwa nahitaji kusafisha lote na kwa haraka huu mtambo naona...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Habari, naomba kwa wazoefu ni ukubwa kiasi gani kitahitajika kwa ujenzi wa banda la kuku wa mayai wa kisasa 500, pia ningependa kujua vitu muhimu vya kuzingatia wakati wa ujenzi wa banda hilo na...
0 Reactions
2 Replies
13K Views
Habari Sisi tunapima udongo kwa ajili ya kilimo cha kisasa unafaa kwa kilimo na uchimbaji wa visima kuanmgalia kama katika eneio lako kuna maji au hakuna. Unapima udongo ili kujua kama...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…