Habari wakuu
Hongereni kwa kazi za ujenzi wa Taifa. Niende kwenye mada
Moja kati ya changamoto zinazowakumba wamiliki wa mashamba ni wizi wa mazao mashambani. Changamoto hii huwakumba zaidi...
Habari za asubuhi.
Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula...
Wiki hii kuna vibaka wameiba sana ng'ombe na mbuzi nahisi mambo ya sikukuu, hebu tushauriane ni njia zipi unaweza kutumia kudhibiti wizi mabandani, na kama una experience yoyote pls iweke...
Wakuu habari,
Alhamisi niliuliza mwenye ujuzi wa water pump maana pump yangu ya kuvuta maji imekatika kifaa cha kupokea mafuta kutoka kwenye tank kwenda kwenye engine sasa naomba mwenye ujuzi na...
Habari wapendwa?
Ng'ombe wangu ameanguka toka juzi na hawezi kusimama. Ingawa anakula na anajaribu kusimama muda mwingine. Dkt. amejaribu kumwekea dripu jana ila mpaka muda huu hajaweza kusimama...
Haya ni baadhi ya mambo muhimu sana kufanya kuanzia siku ya kwanza ili vifaranga wako wasipate madhara na hatimaye kufa.
i) Mara baada ya kuanguliwa, vifaranga wawekwe sehemu yenye joto kwa...
Wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ullega mara...
Kama kuna thread hapa zinahusu mazao hayo naomba kupewa link.
Kama hakuna basi naomba anaejua kuhusu hayo mazao anisaidie all the infos
------------
link za kilimo cha uyoga
Kilimo, soko na...
KUCHAGUA ENEO
Katika uchaguzi wa eneo kwa ajili ya bustani zingatia yafuatayo:
Mwinuko
Eneo lisiwe kwenye mwinuko mkali kwa sababu sehemu kama hizo zinaweza kusababisha mmomonyoko wa udongo...
Utangulizi
EM.1®️ ni teknolojia iliyogunduliwa nchini Japan miaka ya 80. Imesajiliwa Tanzania na Kampuni ya Feedpro EMAx Limited mwaka 2018. EM ni kifupisho cha Effective microorganisms ambao ni...
KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO
Jina la kitalaamu la PILI PILI HOHO ni Capsicum annum. Asili ya zao hili ni bara la Amerika ya Kusini. Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Iringa, Tanga...
Wakuu, baada ya kupata breakdown ya kilimo bora cha mahindi, steps, mbegu, mbolea, uhifadhi na kadhalika
Hatua ya pili naomba wadau mnipe timing za kucheza na misimu kwa upande wa masoko. Yaani...
Nitumie nafasi hii kuwakaribisha wapambanaji wenzangu tusiokata tamaa katika kilimo. Bonde hili lipo KM 10 tu kutoka Iringa Mjini usafiri wa daladala na nauli ni sh 500 tu. Unaweza kukaa Iringa...
Wadau Wasalam.
Nimeambiwa na Rafiki yangu kuwa Mkoani Morogogoro wapo samaki wakubwa sana kuliko wale wa Ziwa Victoria!
Akadai kuwa Samaki hao wanasifa zifuatazo:
(1) Wakubwa sana kuliko Sato na...
Wakuu habari za maisha na mapambano ya maisha kwa ujumla? Poleni kwa Corona na uhaba wa sukari.
Msaada kwa yeyote mtaalamu wa kilimo hasa cha green house na hiki kilimo cha kisasa cha hydroponic...
Heshima mbele wakuu,
Naomba ushauri juu ya kilimo cha chinese. Nimeaza na matuta machache ila nina plan ya kujiongeza nifikie kulima at least nusu mpk eka moja ya chinese tu.
Wasiwasi wangu ni...
Nahitaji kusafirisha machinery equipment kutoka USA kwenda Tanzania, kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia usafiri wa majini kutuma vitu bongo? Ni kampuni ipi wanashiping conterner?
Wakuu zangu,
Mimi ninaishi Kisarawe Pwani nimejiajiri kwa sasa lakini pia nimeajiri vijana wenzangu 8. Sasa ukitoa mambo mengine kuna sehemu nachimbia 10, 000 kila siku kwa madhumuni ya kuwa...
Wasalamu Wanajukwaa
Tuache propaganda corona inauwa tujilinde
Kama kichwa kinavyosema. Nahitaji mahindi kwa gunia moja 30000-45000 mkoa kati ya Kilimanjaro au Arusha.
Habair ndugu jamaa na marafiki kijana mwezenu nipo mbele yenu nina shida kubwa sana inanitatiza mimi ninaishi Dar nataka kulima kilimo cha mbogamboga na matunda changamoto ni pots au vikopo vya...