Hii ni kwa kipande cha SGR kitakachounga hadi Kenya....
After eight years of non-execution, the Uganda government has terminated the contract of China Harbour Engineering Company (CHEC) to build...
Baada ya miaka 8 ya kushindwa utekelezaji, Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) ya kujenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa (SGR), njia ya...
Takriban watu 16 wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa likielekea Gulu kugonga na Trela la Lori katika kituo cha biashara cha Adebe huko Kamdini kando ya barabara kuu ya...
Watu sita wamefariki papohapo baada ya Basi la Kenya la Kampuni ya Oxygen kugongana na Basi la Rwanda la Kampuni ya Volcano katika Kijiji cha Rwahi kinachounganisha Wilaya za Ntungamo na Rukiga...
Heri ya Christmas wadau.
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amepiga marufuku Kuuza Madini ghafi yanayotoka Uganda akisema hataki kuwa sehemu ya Wasaliti wa Afrika..
Museveni amesema kuuza...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema amepiga marufuku madini ghafi ya Uganda kusafirishwa nje ya nchi kwasababu hataki kuwa sehemu ya wasaliti wa Uganda na Afrika kwa ujumla kwa kutumika...
Wataalam wa Afya wanasema hali hiyo ya kukosa wagonjwa wapta tangu Novemba 2022 imewafanya kushindwa kutoa chanjo aina tatu za majaribio zilizotua nchini humo hivi karibuni.
Maambukizi ya ugonjwa...
Kiongozi huyo amechukua uamuzi huo kwa maelezo kuwa Nchi yake imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuudhibiti Ugonjwa huo ulioambukiza watu 142 na vifo 55.
Museveni amesema "Kwa sasa, hakuna Maambukizi...
Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo.
Afisa Kutoka Wizara ya Afya...
Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa.
Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa...
Picha mnato ni Jeneral Muhoozi Kainerugaba Rubereza.
Duru za ndani zinaeleza kuwa yupo kwenye maandalizi ya kumrithi baba yake Museveni Kaguta wakati wowote.
#CMCA
Wiki tatu zijazo ni muhimu kwa Uganda kudhibiti Ebola kufuatia kupungua kwa maambukizi mapya kwa mara ya kwanza ndani ya siku 10.
Iwapo hali hiyo itaendelea, nchi inaweza kufurahia likizo "huru"...
Ana utoto utoto mwingi sana. Hata personality ya Urais hana. Nadhani abaki tu kuwa mwanaharakati wa vijana. Maana sidhani hata Baganda nao wanamchukulia serious.
Sema wanamtumia tu kumsumbua...
Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka.
Msemaji wa Magereza Frank Baine...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewahakikishia watalii na wageni kuwa maambukizi ya Ebola yanadhibitiwa na hawana haja ya kusitisha kuitembelea Nchi hiyo
Amesema kuna watalii walisitisha ratiba...
Rais Yoweri Museveni amewahakikishia wageni kutoka mataifa ya kigeni kwamba mlipuko wa Ebola utadhibitiwa nchini humo huku kukiwa na visa 141 na vifo 55 vilivyorekodiwa tangu Septemba 2022
Katika...
Mswada huo unalenga kuongeza ufahamu kuhusu hatari ya Pombe na kuleta vikwazo vingi ikiwemo #Sheria ya kudhibiti muda wa kufunguliwa kwa baa na kupunguza uuzaji na utangazaji wa pombe, katika...
Rais Yoweri Museveni amesaini Sheria ya Matumizi ya Mitandao yenye vifungu vya kuwabana watumiaji mitandao endapo watachapisha au kusambaza habari zinazoikera Serikali au watu binafsi.
Sheria...
Kampuni za mtandaoni na wanaharakati 12 wameungana katika kesi wakidai Sheria hiyo inaminya uhuru na haki za matumizi ya mitandao na itatumika kuwanyamazisha wakosoaji wa Serikali.
Wanaoiunga...