Habari
Ni App gani au link gani naweza kutumia ku download video toka YouTube?
Mana karibu siku ya pili sasa site nyingi zinanigomea ku download videos toka YouTube
Baada ya jamaa wa GURU TUnnel kuweza kuweka mahusiano mazuri na www.facebook.com sasa ni rahisi kwa mimi kuwapatia member wa JF a good and cheap way of browsing internet. bila ya kohofia...
SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA SOLUTION ZAKE
Habari wanajamvi,
Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga...
Habari wataalamu.
Nina laptop yangu HP touch screen. Mwanzoni mpaka juzi nilikuwa naingia vizuri tu katika website mbalimbali. Cha kushangaza kuanzia juzi inakataa. Ila wifi inaunga vizuri tu...
Kuna Post Mdau kauliza Duka gani lina reputation nzuri ya kuuza SIMU ZA SAMSUNG ORIGINAL NA SIO REFURBISHED?
Nimeona nijibu kama Post Mpya kwa Faida ya wengi, kwa miaka mingi niliyouza...
๐๐ฎ๐ต๐ฎ๐บ๐ ๐ธ๐๐ต๐๐๐ ๐บ๐ฎ๐ฏ๐ผ๐บ๐ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ๐๐ถ
Nazani umeshawahi kusikia sijui polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya kikundi fulani Cha watu mahali fulani JE hayo mabomu ya machozi ni kitu gani ? kwa...
Habari ya wakati huu wakuu kuna jambo linanitatiza hapa hii Hp 24 inch nataka kuuziwa 130k na hii lenovo 22 inch nauziwa 180k mimi na ubahili wangu nataka kupita na hii Hp ya 130k ila nahofu why...
Habari wakubwa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna Tv aina ya LG yenye specifications zifuatazo
Model no : Lg 43LM6300PVB 0A1L00B2 (370/550)
Power : AC 100-240V ~ 50/60 Hz/ 68 W
Serial no ...
My kindle paperwhite imestuck. Doesn't charge and doesn't reboot. Nimejaribu all means like pressing the power button for more than 60 seconds but all in vain. Please help
FCC sasa imeipa kibali Space X kulink smartphone na StarLink (Direct to Cell) yaani bila kutumia madish yao ya starlink kama tunavyosubili hapa bongo, hii feature ipo kwenye Generation ya pili ya...
Google
You've closed your Google payments profile
Hello from Google,
You recently closed your Google payments profile.
You'll still be responsible for outstanding balances.
Most customers can...
Wana ndugu naomba msaada. Nina laptop aina ya hp elite book, nilinunua ya mtumba na haikuwa na shida yoyote but hivi karibui kitufe kimoja cha backspace kimekuwa kinasumbua kwa kikataa kurespond...
Hey guys,
Iโm reaching out with a heavy heart and a strong desire to change my current situation. Iโve been working in a low-paying marketing job for nine years, applying for better opportunities...
Za muda huu wanajamvi,
Ni muda sasa wasap yangu haina jina lolote nkijalibu kurefresh naambiwa list ya majina imekuwa updated naomba msaada maana napitwa mambo mengi ya msingi.
Habari zenu wana JF, poleni kwa majukumu ya pilika pilika ya kutafuta pesa.
Jamani naombeni ushauri wenu. Nyumbani nina TV aina ya Samsung zile za South Africa inch 32.
Leo dogo ameiangusha hiyo...
ZenoPay ni mfumo wa malipo wa kisasa unaotoa suluhisho rahisi na la haraka kwa biashara na wajasiriamali wanaohitaji kupokea malipo kwa urahisi. Hapa chini ni baadhi ya faida na njia za kutumia...
Jambo wapendwa wa jamii forum. Ni matumaini yangu mko poa wote, kwa wenye changamoto nawaombeeni kwa Mungu awafanyie wepesi.
Moja kwa moja kwenye mara. Karibuni nimekuwa nikipata uzoefu mbaya...
Wazee wenzangu, nahitaji application nzuri ya kumchunguza mtu, nisome meseji zake, WhatsApp na simu zake zinazoingia na kutoka..
Lengo la kutaka hii app:
Nina shemeji yenu tumekuwa kwenye...