Habari zenu wakuu.
Nimekuwa nikizitamani sana hizi PC.
Nimekuwa nikitamani kuhamia huku mazima niachane na mambo ya HP.
Shida ni kwamba sijawahi kuitumia kabisa.
Je! Haitiniletea shida? Kuhusu...
Yaliyomo
Yaliyomo 1
Week 1 4
Introduction to Android development 4
Overview of the Android platform 7
Setting up the development environment 11
(Android Studio) 11
Understanding the project...
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ก๐ฑ๐ฒ๐ด๐ฒ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ
Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane...
Habari waungwana,
Nina laini yangu mwenyewe niliyoisajili kwa NIDA yangu sasa nikampa mdogo wangu akawa anaitumia ila akawa kuna watu anawasiliana nao kwa sms na kuwapatia Pesa
Sasa lengo...
Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa...
Habari
Mwenye kuelewa kuhusu internet anisaidie nataka kununua airtel router sasa bando la chini ni 70000 ambayo ni mbs 10 sasa nataka niwekanofficine kwa ajili ya kudownload movies je itanifaa au...
Puter ni mfumo wa uendeshaji wa mtandao wa chanzo huria ulioboreshwa, wenye kasi ya hali ya juu, na unaoweza kupanuliwa kwa urahisi.
Live demo
Puter unaweza kutumika kama:
A privacy-first...
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb
bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2
ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000.
Nipo kimara Dar es Salaam
0782780980
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb
bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2
ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000.
Nipo kimara Dar es Salaam
0782780980
Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
Heri ya Christmas na Mwaka Mpya.
Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania.
Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya...
Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali.
Tofauti na hivi sasa mtu ananunua...
Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini.
Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati...
Kama nilivyoeleza hapo juu account yangu ya fb inaonesha Nina account nyingine mbili ambazo mm sizijui na kufanya nionekane nina account tatu ambazo Kila Moja inaweza kuswitch kw nyingne na hii...
๐ฅOFFER-OFFER-OFFER๐ฅ
NetFasta.Com - Stress-Free Web Hosting
๐ฅ Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 150,000 Tu! ๐ฅ Kwa Kifurushi Chochote Utakacho Chagua Na Utapata Ofa Hizi:
1๏ธโฃ Utapata Domain...
Hello Wana JamiiForum. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nahitaji Mtaalamu wa WordPress Website anayefahamu vizuri Site Migration.
Lengo kuu la uhitaji huo ni kutaka kuhamisha...
hallo people,kwa siku kadhaa sasa nimekua nikiwaza jambo ili niweze kutengeneza umeme bila running costs kubwa,hivi kwa mfano nikawa na motor yangu kubwa inayotumia battery za gari then niiwekee...