Mafundi mnisaidie flash file la SQ1000, maana yake ya Google ukigonga simu haiwaki.
Ambaye alisave scallter file kwenye miralce crack anitumie pls
Inakuwa na mb 4
Hawa ni Isaac Newton; the Father of Phsics na Nicolas Tesla
ISAAC NEWTON
https://en.wikipedia.org/wiki/Isaac_Newton
NICOLAS TESLA
https://en.wikipedia.org/wiki/Nikola_Tesla
Infinix Imetisha imeleta simu unaweza kuichaji kupitia Mwanga wa Jua
💭 Ebu fikiria unatembea kwa miguu jua Kali na simu yako inakaribia kuzima, au huko kwenye gari mwanga wa Jua unakupiga tu...
Habari wakuu.
Ningependa kushare nanyi ujuzi wangu mdogo katika kutengeneza beat ya trap.
Kwa watakaohitaji FLP yake niunge mkono kwa kusubscribe na niandikie tu katika email hii nami...
Kumekuwa na maswali mengi sana kuhusu simu janja iphone wengi wamekuwa wakipigwa na kuuziwa simu feki, refurbished nk. Nikaona ni busara nikaandaa uzi kuhusu iphone users na ambao wanataka kuanza...
Habari,
Namba kuuliza, nimekuwa nikifungiwa Acc yangu ya wasap kila mara napotumia mtu text. Hii imeanza kutokea baada ya kubarisha simu, nashindwa kuelewa kama shida ni simu au nini!
Maana wao...
CHATGPT inasimama kwa "Chat Generative Pre-trained Transformer." Hii ni teknolojia ya akili bandia inayotumika kutoa majibu ya mazungumzo, kama vile tunavyozungumza sasa.
Inategemea mafunzo...
Karibu kwenye darasa letu la mobile app development! Hapa tutajifunza React Native kwa vitendo, tukijenga project 4 halisi kwa wiki moja moja. Jiunge na group letu la Whatsapp na upate uzoefu wa...
Habari za muda huu wanajamii kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninampango wa kulipia 470,000 kwa simu aina ya Motorola G84 yenye ram12 na rom 256 6.5 inches je kwa bei hiyo ni sahihi au...
Samahan wadau naomba msaada jinsi ya kutatua hii changamoto kwny kisimbuz cha azam antena.
Inaniandikia tu "stb verification required" sas hapo nachemka
Msaada tafadhar.
Kumekuwa na ushindani mkubwa kwa miaka ya sasa hivi katika utengenezaji wa softwares ambazo hutumika katika music production. Ilikuwa kazi sana katika miaka kadhaa ya nyuma kwa mtu aliyetaka kuwa...
Kampuni ya Unitree ya kuunda Roboti aina mbalimbali imeonyesha Roboti mpya aina ya G1 Humanoid yenye uwezo wa kupigana kwa kufundishwa ndani ya dakika 3 na kuweza kufanya Kila kitu kwa usahihi...