Wakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana.
Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe...
Choosing the Right AI Model for Strategic Tasks
Businesses today face the challenge of selecting the optimal AI model for tasks ranging from simple automation to complex strategic...
Penye wengi daima pana mengi, nimekuwa mfuatiliaji wa mada zinazoendelea kwenye jukwaa hili la Teknolojia hasa ukizingatia kadri siku zinavyozidi kwenda basi na teknolojia nayo inazidi kushika...
Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX...
Habari wana jukwaa juzi nimenunua Tv aina ya Star X inch 50 smart Tv 4k UHD. Wakati nainunua hii Tv waliniwekea baadhi ya video kutoka Youtube na zikawa zinaonesha clear sana hadi nilipenda kwa...
Nimeitumia deepseek nafikiri mimi ni mmoja wa watumiaji wa mwanzoni. Ilikuwa vizuri na ipo fasta. Lakini baada ya kuanza kelele kila muda inashindwa kufanya kazi server zao ni ndogo mchina...
Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.
Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?
Niliambiwa...
Rejea kichwa cha Habari Husika.
Mimi ni mdau wa muda mrefu wa Jamii Forums na pia Wa Miaka Lukuki wa MUSIC. kwa kweli nimekuwa na uzoefu wa Music miaka mingi nikiwa nimepata sikiliza music toka...
wakuu habar zenu?
Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja za mitandao tofauti, hii teknolojia nimeipa maua yake aisee.
Zaman nilikua nahangaika na kubadilisha...
A HARD WAY TO BE 1337 HACKER..
Leo Nitashare mawazo yangu hapa au tuseme ushauri ambao nina uhakika utakwenda kukufungua mindset yako juu ya Tasnia hii changa hapa Tanzania yaani tasnia ya Cyber...
Wakubwa habari zenu, naomba mtu yeyote mwenye ujuzi na quickbook accounting software anisaidie hili swali,
Je inawezekana kutumia Quickbook desktop kweny cloud?
Kwanza kabisa tumeshuhudia Tzsh ikigain momentum over the last end of the last year, lakini maswali ya kujiuliza Je ni economic factors zilizofanya Tzsh kufika about 2300/= per 1$ au ni...
Huenda umeokota simu na hukunjua mwenyeww pia huenda umesahau password za simu yako na kutoweza kufanya chochote sasa ondoa BUREE pasipo kulipia gharama nyiiingi kuflash
Kwa shida na teknolojia...
Aisee nilikuwa naingia tu mtandaoni na generate vitu bila mpangilio. Sasa nina kaproject kangu binafasi ambako hakiwezi kutumia AI generators za mtandaoni, ikabidi nirun fooocus locally. Aisee...