Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=xRPjKQtRXR8
2 Reactions
4 Replies
441 Views
Je kuna app ambayo naweza kuitumia ku edit document kwenye whatsap?
2 Reactions
3 Replies
309 Views
Hatua kwa hatua, kama tunajenga kitu kutoka chini kabisa hadi kufikia programu tunazotumia kwenye simu au kompyuta zetu. Ikiwa ni rahisi kwako kupitia video unaweza tazama video hii fupi...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Kufuatia tamko la nchi ya china kupiga marufuku bank zake za ndani kujihusisha na ununuzi wa dollar, je kwa upande wa crypto industry itakuwa na faida au hasara?
0 Reactions
4 Replies
255 Views
Niaje wakuu… Ni hivi, ni rahisi kujifunza syntax za programming language yoyote ila shida kubwa ambayo inawasumbua watu wengi ni namna ya kubadili hizo concept na kuziweka kwenye mfumo...
2 Reactions
2 Replies
486 Views
Wakuu habari zenu Naomba kuuliza kwa wataalamu, hivi mtu akiijua ip address yako tu anaweza kublock account zako zote za onstagram zilizo kwenye hio simu hata kama ulibarisha majina?
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Kama wewe ni mpenzi wa cryptocurrency na unapenda kujifunza cryptocurrency huu uzi unakuhusu kabisa kabisa kwa asilimia 100 kwa sababu kupitia huu uzi utaenda kuingiza maelfu ya dola kama utakuwa...
2 Reactions
16 Replies
982 Views
Habarini. Natumia Samsung A15 Nikimpigia MTU Mimi Nina Msikia Ila yeye hanisikii nifanyeje? Ili aweze kinisikia nitakae mpigia?
2 Reactions
2 Replies
412 Views
Samahani wakuu ni mdau mwenzenu baada ya kuchoshwa na hizi kazi za kikoloni nataka nifungue kaofisi na kutengeneza laptops na simu..naomba kujua ni box gani inayotumika sana kwa sasa yenye uwezo...
6 Reactions
368 Replies
104K Views
Habari wana JF hope mnajiandaa vyema kabisa na pasaka wiki hii Wiki kadhaa zilizopita nilishare thread humu iliyokuwa inahusu blockchain and cyptocurrency especially kwenye kipengele cha crypto...
2 Reactions
0 Replies
301 Views
Mwongozo Bora wa Kununua Laptop ya Utendaji wa Juu (2024/25) Na MALEKO GJ| #ElimuYaKompyuta Kununua laptop mpya ni jambo linaloweza kuwa la kusisimua, lakini pia linachanganya kutokana na wingi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
IT ICT COMPUTER SCIENCE SOFTWARE ENGINEERING Naomba kujuzwa
2 Reactions
4 Replies
400 Views
Wasalaam, Naamini hapa ni kila kitu na ninaweza kupata msaada ili kuweza kutatua tatizo lililopo. Ni nyumba ya kuishi, familia yenye jumla ya watu sita (6) - watu wazima wa nne (4) watoto wawili...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Wakuu naomba msaada, wakati naangalia TV tanesco walikata/ umeme ulicheza kidogo yaani ndani sekunde mbili umeme ulikatika na kurudi. Taa ya standby inawaka na nikiwasha TV Kwa remote au Kwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
wadau naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuitoa hii security plug maana nimemaliza huo mkopo msaada tafadhari
1 Reactions
4 Replies
932 Views
Wakuu naomba kw a yoyote alie wahi kutumia poket wifi y halotel unlimited, kwani muda wowote ule nitakwenda kununua naomba ushauri kuhusu speed yake, shukran wakuuu
3 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Question Question
Mnaotumia iPhones mnafanyaje kudownload nyimbo bila kuzinunua na ku save kwenye sim zenu na kusikiliza muda wowote pale mnapojiskia? Kama inavyofahamika kwamba iPhone vitu vingi huwezi download...
3 Reactions
12 Replies
815 Views
Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) with a bachelor of Science in BUSINESS INFORMATION TECHNOLOGY...
4 Reactions
10 Replies
892 Views
3Kuelewa na Kujilinda Dhidi ya Mashambulizi ya Man-in-the-Middle (MITM) ➤Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, usalama wa mawasiliano mtandaoni ni muhimu sana. Hata hivyo, kuna vitisho vingi...
3 Reactions
4 Replies
405 Views
Salaam wakuu, Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4. Mashine yangu ni ya games za akaunti. Naomba kuwasilisha.
1 Reactions
3 Replies
719 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…