Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakubwa nimecheki huko Mjini Facebook, kuna wakenya huko wanatamba na hizi Sound System za magari wanaweka majumbani mwao hii idea imekaaje, make sote tunajua mziki wa gari huwezi linganisha na...
2 Reactions
9 Replies
598 Views
🔒 JE, UNAJUA UNAWEZA KUONDOA TAARIFA ZAKO BINAFSI KWENYE GOOGLE NDANI YA DAKIKA 1 TU? Watu wengi hawajui kuwa Google inatoa njia ya kujilinda dhidi ya watu wanaotafuta jina lako, namba yako ya...
3 Reactions
3 Replies
559 Views
China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti. Uzinduzi huu ni...
6 Reactions
7 Replies
780 Views
Google's crawler, when scanning a webpage for backlinks, identifies URLs within HTML anchor tags (<a> tags) that contain the href attribute. The structure of a backlink URL in HTML code typically...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Niaje wadau kwa hali ya sasa maendeleo ya tech ni makubw san kama una weza design blog au web kwa kutumia Ai ,do you think guys kaz za web designers zitakuwa hatarin?
1 Reactions
2 Replies
331 Views
Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo...
9 Reactions
8 Replies
3K Views
Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti. Ila uwezo wake wa kupoza ni...
9 Reactions
66 Replies
2K Views
AI Platform Evaluator: Requesty AI vs OpenRouter AI Role: Act as a senior AI infrastructure analyst with expertise in evaluating AI routing platforms, API management systems, and language model...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
FANYA HIVI KUBADILISHA PICHA ZAKO KUWA KATUNI FASTER 🔥🔥 Je Unapenda pixha zako ziwe Katuni wa kipekee na kupendeza ?? Leo nakufundisha Tena jinsi ya kuunda picha zenye muundo wa Katuni kupitia...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Hi? DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda...
6 Reactions
78 Replies
3K Views
Nahitaji mtu ambae anauwezo wa kutengeneza app kwaajili ya delivery mwenye uzoefu na awe tayari kunionesha kazi zake pia bei iwe rafiki
2 Reactions
17 Replies
952 Views
Msingi ule ule, lugha mpya, Java ni mama, Kotlin ni mwana, Ukikumbatia mabadiliko, Kotlin utamkimbiza bila wasiwasi. Kotlin is currently the best though people who don't want revolution in tech...
0 Reactions
3 Replies
280 Views
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September! Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16. Simu...
13 Reactions
105 Replies
8K Views
Unatumia Laptop Dhaifu kwa Kazi Nzito? Hii Ni “Unsanitary” kwa Biashara Yako — Na Hizi Ndizo laptop Salama Zaidi Mwaka Huu Na Muonekano wa kisasa. Bei rahisi. Lakini ndani ni balaa. Hivyo ndivyo...
3 Reactions
2 Replies
416 Views
Mzuka wana Jamvi.. Siku hizi Wasap kumezuka mtindo wa hata watu ambao hamfahamiai nao kukutag kwenye grupu kuview status zao na mara nyingine bila hata kupenda na kutarajia unakuta unaview sasa...
1 Reactions
6 Replies
686 Views
Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Apps za Simu kwa Ajili ya Afya (Tanzania 2025). Katika zama hizi za kidijitali, simu janja zimekuwa zaidi ya mawasiliano—zinasaidia hata kwenye afya zetu. Hizi hapa ni baadhi ya apps mpya au...
2 Reactions
2 Replies
655 Views
🚀 Nazani mtandaoni umeshawahi kusikia kuhusu mtandao wa intaneti wa fiber sijui tigo, vodacom, ttcl, halotel, Airtel wanaunganisha na Mtandao wa fiber intaneti Majumbani, ofisini, migahawani na...
1 Reactions
2 Replies
518 Views
Coding Siyo kwa Wataalamu Tu—Ni Kwa Kila Mtu! Katika dunia ya leo inayozidi kuwa ya kidijitali, kujua misingi ya coding ni muhimu kwa kila mtu, si kwa wataalamu tu! Coding ni funguo za mafanikio...
9 Reactions
8 Replies
782 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…