๐กChina wako mbele ya muda Aiseeeh!!!!!
๐ญ China imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee ulimwenguni baada ya kuwa nchi ya kwanza kujenga nyumba ya ghorofa 10 yenye ndani ya saa 28 imekamilika na...
Habari wana Technology,
Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom.
Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii.
Na pia kulingana na ufuatiliaji...
Wale wapenda game ni wasanue tu kuhusu mambo ya biashara yalivyo.
Makampuni yamekuwa konde boy sasa kila kukicha kuachia kitu kipya wabaki kushindana kwenye soko.
Nimefatilia kwenye mijadala ya...
Habari wadau na wataalamu wa masuala ya software. Mimi ni mwalimu ambaye natafuta Online Examination Software kwa ajili ya wanafunzi wangu kufanya test/mitihani online kwa kutumia Simu au tablet...
Wakuu salam.
Mimi ni mwanafunzi wa Electronics and Telecommunication Engineering DIT ,Naomba yeyote mwenye connection na kampuni inayojihusisha na mawasiliano ama Taasisi zenye idara ya...
Natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii nchini tanzania kwa lengo la kuchochea ukuaji wa kiteknolojia na kuleta ushindani dhidii ya Facebook, Instagram na Twitter pamoja na tiktok.
Mitandao hii...
Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio
Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
Google Yalipa Dola Bilioni 1.375 kwa Jimbo la Texas kwa Kufuatilia na Kukusanya Taarifa za Biometria Bila Idhini
Google imekubali kulipa jimbo la Texas nchini Marekani kiasi cha dola bilioni...
Wadau wa technology:
Software
Robotics
AR & VR technology
Mobile Computing
Tech in Health
Nk.
Predictors (Pattern recognitors) wa tujadili next gen tech
Jinsi ya kutumia 'variables' katika Java! , usikose video hii muhimu!
Iwe wewe ni Mpya au tayari una uzoefu, video hii itakufundisha:
Maana na umuhimu wa 'variables' katika Java:
'Variables'...
Kwa Nini Ujifunze Java Datatypes, Operators, Strings na Numbers?
Hizi ni Kama blocks kwa ajili ya ujenzi wa Program yako. Vitakuruhusu kuunda programu thabiti na bora.
Hapa kuna baadhi ya faida za...
Naomba kuulizia, kuunganisha solar panels mbili mfano panels za wat 50, na kuweka panel moja ya wat 100, katika nguvu ya ujazaji wa betri. Je, Kuna utofauti?
Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb...
Habari zenu wanajf.
Nahitaji msaada wa kupata kifaa kwa ajili ya matumizi ya camcard kwa samsung tv.
Kuna port nyuma ya TV lakini inahitaji adapter ili kupokea Camcard.
Kwa yeyote anayefahamu wapi...
Nimeuliza hivi coz sio expert ktk Programing ila nina ufaham na nazid kuprogress ktk hii career na ni raha hiki kipind cha AI inafanya bugs kua rahis kusolve.. ๐๐ so
Let's talk about it..
โก Kama utakua unatumia app ya Google photo nazani unaijua jinsi inavyofanya kazi kupitia simu zetu si ndiyo !!
๐ญ Sasa Google photo wameleta feature mpya inaitwa Quick Edit inakupa nafasi ya...
Kama umekuwa ni mtumiaji wa hizi cryptocurrency exchanges kama OKX, BYBIT au Binance kwenye kufanya transaction za cryptocurrency basi utakuwa umegundua kuwa P2P au Peer to peer trade ( Biashara...
โSimu Yako Inaweza Kukutajirishaโฆ au Kukufilisi
Kuna Njia 11 za Kutambua Fake Bank Transfers Kwa Uhakika na Kitaalamu โ
Katika zama hizi za digitali, pesa inaweza kuingia au kutoka bila kuguswa...
Hii Ndio Sababu Kila Mtanzania Anapaswa Kujua Siri ya Wi-Fi Guest Network!
Katika ulimwengu wa kisasa wa teknolojia, nyumba nyingi zimejaa smart devices kama vile robot vacuum, Smart TV, printer...