M.2 SSD ni Nini? Fahamu Chanzo cha Kasi Mpya kwenye Kompyuta za Kisasa
Na Maleko GJ
Ikiwa kuna kitu kimoja watumiaji wa kompyuta wanataka zaidi kila siku, ni kasi. Kasi ya kuwasha kompyuta...
Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL.
Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na...
π§ HUDUMA ZETU ZINAHUSISHA:
β Matengenezo ya simu aina zote (Android & iPhone)
β Kurekebisha simu zilizoharibika au kuzimika ghafla
β Kuflash simu ili kurekebisha matatizo ya mfumo (software)
β ...
Habari wadau. Nina printer yangu, epson L3210, Nozzle check ya printer Iko safi, nimefanya power cleaning mara kadhaa Ila Bado ukiprint kuna mistari midogo inaacha. Mistari myeupe ambayo inakata...
Elon Musk has just unveiled XChat, a revolutionary new platform that is set to redefine private communication.
With a strong focus on security and user privacy, XChat offers a suite of features...
Kompyuta ya AI ni Nini, na Inatofautianaje na Kompyuta ya Kawaida?
Na
ITS MALEKOGJ
Katika zama hizi za maendeleo ya kasi ya teknolojia, kila siku tunasikia maneno mapya. Mojawapo ni βAI PCβ β au...
Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo
Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake
Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
Najaribu jiuliza kwanini. Data bundle zinawahi kuisha sana . Hata kama HUFUNGUI ZILE APPS ZINAZOKULA MB SANA .....MFANO IG , TIKTOK , JUST NI JF TUU FB YENYE LITE DATA SAVER ,
KARIBUNI...
Wakuu napataje Tshs 100k kwa mwezi. Kupitia skills hizi 2d drafting & CAD kwa kuchora michoro ya majengo, mitambo na frontend web development (html, css, JavaScript) kwa kutengeza tovuti za...
Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari...
Salamu, katika pitapita zangu za hapa na pale mitandaoni nimetumia muda kidogo kulinganisha teknolojia hizo mbili hapo juu.
Na matokeo yake nikagundua 5G ipo juu zaidi ya starlink kwa karibu...
Hakuna aliyekua anabisha Htc alikua Kampuni Tishio kwenye matoleo ya simu miaka ya Nyuma hakuwa na mpinzani kabisa.
Lakini baada ya miaka kupita Htc alipoteza dira na kupotea kwenye Ramani, Je...
Habarini.
Sote tulishuhudia Mtaalamu kigogo alivyosumbua. Wakuu nimeona nije na swala hili kwamba huyu kigogo umahiri wake kiweza kukwepa mishale enzi na awamu Ile technically ikoje hii.?
Msaada...
Habari wanajukwaa
Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo
Kufanya basic coding kwa kutumia HTML,PHP,Javascript,C#
Kutumia application za Adobe kama Lightroom,InDesign, na Photoshop...
Utapeli mitandaoni kupitia phishing link na jinsi unavyoweza kujilinda.
Siku hizi karibu kila kitu kiko mtandaoni kutoka kwa mitandao ya kijamii, benki, hadi mawasiliano ya kila siku. Lakini...
Habari zenu wadau
Natoa huduma za kudesign website kwa gharama ndogo tu ya tsh 200,000. Kwa mawasiliano zaidi njoo PM
Location nipo Dar-es-salaam na Kilimanjaro.
Kwenye attachment ni sample ya...
1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi tofauti na huku android kuna...
Unachangamoto ya kompyuta kutumia bando la Intaneti sana? Suluhisho ni data saver, Bei 30,000 Tsh.
Programu ya data saver itakusaidia kuepusha Windows OS kujiupdati na kuzuia background usage la...