Habari, naomba wataalam mniweke mwangani juu ya kufanya trading kwa kutumia Robots, je kuna faida gani? kuna hasara gani?
Kununua Robot mfano kutoka Royal Q kunaweza kuwa na utapeli wowote?
Je...
Ikiwa, Unatamani kujifunza Tehama kwa umahili Karibu katika Group hili, Jiku Tech Tips
Maarifa Mtandaoni ni Mengi na yanatosha, Miongozo ndio Hakuna, Utapata Muongozo sahihi wa kujifunza Tehama...
Habarini, naomba kujuzwa katika hizi flat screen za wananchi wa kipato cha kawaida, ni ipi bora kuliko zingine?
-Star-X tv
-Aborder tv
-Sundar tv
Hapa siongelei zile za kibosile kama Sony, LG na...
Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.
Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko...
Nataka kununua bluetooth speaker, nimeipenda sana JBL BOOM BOX 3, ila sina bajeti yake, ni mdundo gani unaoendana na huo kwa bajet ya 400,000? Ambao ni portable kama boom3?
Youths are the technology game changers. They're creative and skilled with digital tools, making big changes in industries and society. With technology and global connections, they're breaking old...
Hakuna tena haja ya kutengeneza vyakula vya mifugo usovyojua matokeo yake kwenye ulishaji,mchawi computer,cha msingi unapaswa kujua ingredients zinazotakiwa kwenye utengenezaji wa vyakula vya...
Kuna jambo ambalo bado najiuliza kuhusu vyuo vyetu hapa Tanzania linapokuja suala la mashindano ya ICT. Maana naona vingi vipo kimya sana — ukiachana na UDOM (University of Dodoma).
Jana nilikuwa...
Niliiflash Laptop ya Client Nikakuta Picha Zake za Siri Akiwa Chuo Kikuu 2020 😳
Je, unafikiri kuflash laptop huondoa kila kitu? Usidanganyike. Data zako "binafsi" zinaweza kuwa bado zinajitokeza...
Watu hawasomi copy zako kwa sababu ni nzuri — wanasoma kwa sababu wanajihisi kama wewe unajua tatizo lao. Copy nzuri haizungumzii bidhaa. Inaingia kichwani kwa mteja, inamgusa rohoni, kisha...
Guys watu wengi hua mnasikia terminologies yani 2G, 3G Mara H, H+ au E etc, Je, maana yake ni nini kwenye network?
Kwa kifupi ni speed zinazotumika kusafirisha data kwenye internet ambapo...
Simu Yako ni Silaha Dhidi Yako Jinsi Namba ya Simu, Spyware, na Serikali Zinavyotumika Kukudhibiti Bila Wewe Kujua
By Its MalekoGJ
Mara ya mwisho uliwaza nini kuhusu usalama wa simu yako?
Wengi...
💡 Kama unakumbuka Mwaka 2021 𝗟𝗚 iliweza kufanya uamuzi wa wa kuacha Soko la kuuza simu za Smartphone Mnamo mwaka 2021, ambapo wakati huo kwa zile brand za toleo la Korea kusini wakaweza kuendelea...
Ndugu zanguni
Ni muda sasa sijapost humu kwani nimekua bize sana na kazi
Nimekua nikiona na kusikia vijana wakilalamika sana kuhusu ajira. Napenda kuwajuza tu kua moja ya ajira ambazo huhitaji...
Wadau naomba kuuliza juu ya ubora wa mashine za xerox kwa kazi za stationary, au ni mashine gani nyingine Bora ambayo inaprint na kutoa copy kwa rangi?