Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

๐Ÿ’ป Nilianza na simu yangu. Sio laptop. Wakati nikiwa chuoni, nilikuwa natumia simu yangu kujifunza HTML na CSS kupitia w3schools na tutorials za YouTube. Nilitengeneza web pages ndogo ndogo...
5 Reactions
12 Replies
844 Views
Wapenzi wa Movie Kuna movie ya zamani Sana Tom Cruise kijana mdogo inaitwa The Color of money,. Story,Kuna mzee ujana wake alikua fundi Sana wa kucheza Pool table alikua maarufu na ndoto yake aje...
30 Reactions
61 Replies
4K Views
Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network. Na ubaya...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Welcome all to PayPal withdrawal help. Inbox me asap.
2 Reactions
5 Replies
493 Views
Najua watu wengi tumeutizama mzigo wa squid game unaelewa jinsi ulivyo wa kibabe au Kuna MTU wa kupinga [emoji6]!! Sasa Netflix wamekuja kivinge kabisa ile series Yao ya ๐’๐ช๐ฎ๐ข๐ ๐†๐š๐ฆ๐ž wameamua...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
HABARI WADAU, Kichwa kinajieleza, nimejaribu kutafiti nikabaini Google inc ambao ndio wamiliki wa Android wameblock whatsapp na Youtube kwenye Android 7 kushuka chini, japokuwa whatsapp wenyewe...
1 Reactions
8 Replies
828 Views
Siku hizi kwenye mabenki, mashirika, apps, kusajili line, n.k. wanahitaji kupiga picha ya vidole kwa kamera badala ya kugandamiza kidole kwenye kifaa cha biometric. Hili linaibua wasiwasi mkubwa...
0 Reactions
8 Replies
650 Views
Kichwa cha thread cha husika,natafuta site isiyo ya kulipia,itakayokuwa inaniwezesha kubadili still picture kuwa AI Video.Natanguliza shukrani
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati nime create social media chat app link hapo chini kujaribu https://six-app-3789b.web.app Mods msifute uzi wangu huu
2 Reactions
6 Replies
408 Views
Laptop Yako Inaweza Kuibiwa Bila Kuguswa โ€“ Ukweli wa Remote Access Unaofichwa na Wataalamu" By ITS MALEKOGJ Je, umewahi kujiuliza kama kuna mtu anaweza kutumia laptop yako bila wewe kujua? Je...
3 Reactions
1 Replies
448 Views
Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya! Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya...
41 Reactions
7K Replies
831K Views
Nataka kuingia ESS portal ila Kila nikilog in Kuna Ujumbe ukakuja kuwa check your internet connection hali ya kuwa nipo online na GB za kutosha.. Unahidi itakuwa ni noni tatizo mdau..,?
0 Reactions
3 Replies
196 Views
Wakuu msaada ,simu aina ya samsung s21 imetoa mistari kwenye kioo
2 Reactions
27 Replies
2K Views
o3 vs o4-mini: Comparing OpenAI's High Reasoning Models for Coding Both o3 and o4-mini are part of OpenAI's specialized "o-series" reasoning models released in 2025, designed to excel at complex...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
nishasanuka!!!! Endeleeni kuโ€™gatekeep!! Now ni kudownload hela tu๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
3 Reactions
18 Replies
719 Views
Wakuu kwema? Nina budget ya 1.2M nahitaji TV isiyozidi 55 inches. Chaguo lipi zuri kati ya Sony, LG, Samsung, TCL na Hisense. Ikipendeza na Model pia
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu na wapenzi wa Tecnolojia. Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hilo hapo pichani, ninatumia program kadhaa za kufungua mitandao kwenye simu,Bypass FRP na kadhalika Changamoto kuu ni...
2 Reactions
14 Replies
895 Views
Wakuu wa Tech inakuaje....!? Wakuu na amini tunatofautiana uwezo kimapato wapo wanaomudu gharama za kulipia AC nikiwa nacheki Youtube review za AC nakuta kwa 24Hrs ngoma imebeba Units kama 20 hivi...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ