Yes....Kwa wale wanaotaka kupiga pesa online kupitia simu zenu,leo tumewaletea njia ya kufungua account ya paypal ukiwa Tanzania.
Kumbuka ukiwa Tanzania huwezi kufungua akaunti ya paypal na...
UKIANGALIA katika simu yako ni dhahiri Application nyingi ulizopakua ni za bure. Wote tunapenda App za bure.
Mara nyingi App za bure zina gharama ya faragha (privacy) wakati wa kuziingiza...
Wakuu wa JF, naomba msaada juu ya ubora wa hii PC, na nambiwa ni mpya tatzo ni bei iko very cheap! naomba uzoefu kama uliwahi kununua kwa hili duka BONGODUKA KARIAKOO, DAR. Lengo naitaka hii PC...
Anae hitaji app nauza nnazo mbili moja inausu group link za whatsapp nyingine inausu mambo ya vichekesho pia anae hitaji Google play account nauza bei maelewano nicheki pm tufanye biashara
Quo
ATTACK YOUR FRIEND'S COMPUTER with SMALL VIRUSES.(prepared by Alban)
Zingatia hili kabla ya kutengeneza hao virus ni muhimu sana kufaham.
(A) Usisubutu kufungua hilo file vile ambalo...
HOW TO REMOVE WINDOWS PASSWORD by using COMMAND no SOFTWARE NEEDED.
{1} Turn on or Restart your PC.
{2} Hold F8.
{3} Select on "Enter safe mode with command prompt".
{4} In CMD write this code...
habari ndugu zangu kijana mwenzuni nipo hapa tena.
nisiwachoshe sana wakulugenzi kijana mwenzunu nimedondoka na ombeni muniinue.
nina mpango wakuanzisha offis ndogo amba nita dili na ishu za...
Wakubwa poleni na majukumu ya kutafuta riziki, naomba kujua kwa wataalamu wa mambo ya kompyuta,je? Laptop yenye spesification hizi inafaa(inaweza) kucheza magemu heavy na kufanya kazi kubwa...
jana google wametoa toleo lao la google pixel 3 likiwa limeiga kutoka apple likiwa notch je watashindana na apple ?
Google Pixel 3 - Full phone specifications
Wakuu nimekaa na kufikiria nikaona bora nikaanzisha blog ambayo itahusisha miziki pamoja na muvi hususani season. Je kwa hili wadau na weza toboa hata kwa kiasi kidogo cha fedha
Nilikuwa na simu yangu.... VIWA MAX...ilipata creack ya kioo cha nje...niliifungua nikaenda kununua kioo cha nje ila nilipata sana shida kukipata...
Kipindi naifunga hii simu bahati mbaya kioo cha...
WHATSAPP Yatoa Tamko kufungia Baadhi ya Simu janja zisitumie mtandao huo ifikapo Dec 31 mwaka huu (2017).
Simu janja hizo ni kama vile 'BLACKBERRY OS', 'BLACKBERRY 10' & WINDOW 8.0 Na simu...
#include<iostream>
using namespace std;
main() {
enum {
GREAT=1,
is=6,
Tanzania
};
cout<<"The GREAT is :"<<GREAT<< " Tanzania is:"<<Tanzania;
}
/*
Give output...
Wakuu habarini,kijana wenu hapa Nina blog yangu ambayo nataka kui monetize kupitia adnow ili iweze kutumika kwa matangazo nami nipate malipo.tatizo ni pale ninapojiunga nayo tena katika sehemu ya...
Nataka Kurecovery My Google Account Ila Nafika Mpaka Hatua Ya Mwisho Ila Sielewi Nitazipataje Verification Code Wakati Account Inataka Password... Anayejua Msaada Tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.