Tetesi: MSAADA WAZEE IT ICT NA WADAU WOTE WENYE UJUZI WA COMPLETE

mandingo 94

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
270
190
habari ndugu zangu kijana mwenzuni nipo hapa tena.
nisiwachoshe sana wakulugenzi kijana mwenzunu nimedondoka na ombeni muniinue.
nina mpango wakuanzisha offis ndogo amba nita dili na ishu za
kuingiza nyimbo kwenye flash nk.
kufashi simu za tecno huawei itel nk.

sasa waenga wezangu naombeni munguzo wenu kama
pc gani ina nifaa kwa kuazia lakini na bei
aina gani ya program za kuflash simu
mengineo mtakayo nisaidia nitaishimu Asate sana kwa kusoma ujumbe mfupi huu.
 
Nje ya topic: wewe ni mwanaume au mwanamke?
 
asate ndugu kwa ushauri wako
Kwa biashara kama hii unatakiwa uwe na computer ya kawaida tu yenye specifications nzuri ili kazi yako iwe na manufaa zaidi,pia usisahau kununua na Subwoofer.
 
Kwenye profile umeandika Male, ila hilo jina ulilochagua ni la kike.

Ndo maana nikauliza.

Samahani lakini.
sawa nimekuelewa jina lisipoteza maana mbona humu kuna watu wanaitwa Mbwa paka k kubwa kijuso kila mtu ana weka jina analopenda kuweka na anajuwa anamaanisha nini

nasubili wazo lako kuhu hoja
 
sawa nimekuelewa jina lisipoteza maana mbona humu kuna watu wanaitwa Mbwa paka k kubwa kijuso kila mtu ana weka jina analopenda kuweka na anajuwa anamaanisha nini

nasubili wazo lako kuhu hoja

Mimi siyo mtaalamu wa mambo hayo, ila ninaamini kama ukiweka budget yako watu wangekushauri vizuri sana.

Maana kwenye mambo ya computer kuna used na mpya, kuna specifications tofauti tofauti sana na zinatofautiana bei.

Ni tumaini langu kuwa utafanikiwa.
 
sawa mim nimejipanga kana k500
 
Sasa Mkuu utajiwe mpaka softwares ina maana bado hujazijua? Tutaanza kukufundisha pia humuhumu ukiwa na wateja?

Tafuta hizo programz then ule tizi ya kutosha kabla hujaanza kufanya kazi za watu.
 
Kwa bajeti niliyoona sidhani kama utaweza kununua box za kuflash na ku-unlock simu.

Hivyo itakulazimu kutumia cracked software za box ambazo wakati mwingine zina limit sana.

Kuhusu kompyuta ni bora kununua ambayo ina uwezo wa kufanya mult-tasks kwa haraka kwa wakati mmoja.

Usinunue kompyuta za kawaida kama mdau post #1 alivyodai.
 
Sasa Mkuu utajiwe mpaka softwares ina maana bado hujazijua? Tutaanza kukufundisha pia humuhumu ukiwa na wateja?

Tafuta hizo programz then ule tizi ya kutosha kabla hujaanza kufanya kazi za watu.d[/QUOTS. Atafte VCL ,Converter, SMADAV, SEACHER, na Ashampoo burning studio na Visual Dj. Hzo ndio za msingi
 
Back
Top Bottom