Tetesi: Jinsi ya kufungua paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea na kutuma pesa ukiwa Tanzania

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
2,328
2,283
Yes....Kwa wale wanaotaka kupiga pesa online kupitia simu zenu,leo tumewaletea njia ya kufungua account ya paypal ukiwa Tanzania.
Kumbuka ukiwa Tanzania huwezi kufungua akaunti ya paypal na ukapokea pesa,kama una paypal ya TZ wewe ni kulipia tu tena kutoka akaunti yako ya bank.[kutokana na sheria na mashart ya BoT]
Paypal hiyo hiyo ukiwa Kenya na nchi nyingine unaweza kutumiwa na kutuma pesa yeyote kwa paypal.
Je ni hasara kuishi Tanzania??? 😜😜 hapana!! Angalia video hii na ufungue account yako bila shida kabisa.
angalia video hii kwa makini kisha uliza swali na utajibiwa.
Jinsi ya kufungua paypal akaunti ya nje ukowa Tanzania
 
Back
Top Bottom