Habari wakuu,
Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo.
Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa.
Mwenye connection...
Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk...
Habari wa coding.
Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI...
Hawa so called ISP ni kuna namna wakitaka kuchunguza wanaweza kuwa wana access ya kuona nini tunaperuzi wakati tunatumia huduma ya internet wanayotoa ? Au wataona tu website husika uliyotembelea...
watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account,
Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza.
PS4 zenye soko...
๐ฏ๏ธ Gharama ya bando imekua kubwa sana watu wengi wamekua wakilalamika juu ya Matumizi ya intaneti kwenye simu zao. Wengi wanalalamika mabando yanakwisha mno unajikuta bando la 1Gb linakwisha ndani...
Program ya Spotify imeleta feature mpya kwa Watumiaji wa Instagram ambapo kupitia app ya Spotify utakua na uwezo wa kushare kile unachosikiliza kwenda Instagram.
Inawezekana ukawa unasikiliza...
Kuna mtu anaingiza pesa kupitia YouTube Automation anatoa kozi / mafundisho ya kuingiza pesa kupitia YouTube Automation nilimwambia anioneshe chaneli yake aligoma, hivyo nikashindwa kumwamini kama...
Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k...
Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi.
====================
Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager) kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 350,000 Tsh...
Naangalia mpira hapa kwenye hisense smart tv ila kuna matangazo yanajitokeza mara kwa mara yanakera sana kwa sababu yanaziba baadhi ya sehemu ya uwanja. Naomba mnieleweshe namna ya kuyaondoa
kampuni ya Tigo siku ya jana imeanzisha huduma ya SME huduma hii haina tofauti ya na ile ya Airtel changamkien fursa huko kitaan kwenu
mm sina access ila kitaan kwa mawakala imeanza + na Tigo...
Jinsi Sauti za AI Zinavyobadilisha Sekta ya Utangazaji
Utangulizi
Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia ya Sauti za Akili Bandia (AI) imepiga hatua kubwa. Leo hii, kompyuta zinaweza kusoma...
Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp.
---
### Sehemu ya...
In addition, we see many traits of A.I,reflected in the future age that will prevail. Its main characteristic will be independence, and everything else will follow.
Marriage and family as...
Tabia 7 Zinazoiharibu Kompyuta Yako Bila Wewe Kujua
Na MALEKOGJ
Kama muuzaji na mtaalamu wa kompyuta, kila siku napokea simu, ujumbe na laptop zilizokufa ghafla. Na mara nyingi si kwa sababu ya...
Jinsi ya Kuongeza Muda wa Betri ya Laptop Yako
Betri ya laptop mara nyingi huwa changamoto, hasa pale unapokuwa safarini au mbali na umeme. Habari njema ni kwamba kuna njia rahisi za kuongeza muda...