Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wana jukwa leo nimeletewa zawadi ya king'amuzi kinacho tumia laini internet pamoja na dish sasa kufungua nipate chaneli imekuwa inshu nime search nimepata channels 3900 sasa azifunguki msaada
1 Reactions
9 Replies
935 Views
Mfumo wa End-to-end encryption unazuia WhatsApp, mitandao ya simu na kampuni za Internet kuona kinachoendelea katika mazungumzo, messages na files. Lakini hapo mwanzo mfumo huo ulikwepo katika...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts. Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu...
11 Reactions
120 Replies
10K Views
Spidi ya dunia kuhamia kwenye magari yanayotumia nishati ya umeme badala ya mafuta imekolea na sasa kampuni ya magari ya Hyundai ya Korea Kusini imeonesha mfano wa magari yake ya umeme ambapo gari...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Wana JF naomba kuelekezwa jinsi ya kufanya phone verification kwenye game la FIFA 21
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada mwenye kijua kama kuna app inayowezesha kuchora rangi kwenye simu Zamani nilikua natumia Samsang yenyewe ilikua ina sehemu ya kuchora nazungumzia hichi[emoji116] Yuda exalioth...
1 Reactions
10 Replies
962 Views
Habari Wakuu naombeni ushauri, Nina ka Friji kangu kadogo tatizo nikiweka vitu havipati ubaridi kabisa ila ile sijui evaporator pale juu inakuwa na ubarid saa nying hadi panaganda vibarafu vidogo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
wanajamvi habari za jioni kwq yyte anayeuza au kujua nitapata wap projector hizo anifahamishe au atoe kontact zak tuwasiliane ninazihitaji zile hata kwenye mwanga unaona vizuri
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Simu yangu inaniletea charge warning kila nikiwa naichaji Nimachange charger system Ila bado inanisumbua Ni Azumi V5+ ya voda naambiwa mpaka charger ya Azumi ipatikane ndo itaacha kusumbua...
2 Reactions
4 Replies
839 Views
WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows...
9 Reactions
7 Replies
1K Views
Mpangilio wa nyimbo katika Album ya msanii ni ubunifu ambao unapaswa kuonekana. Wasanii wengi wanapangilia nyimbo katika Album zao kwa mpangilio maalum; na wanapendelea kuona wasikilizaji...
4 Reactions
2 Replies
743 Views
"There was an error. Please try again." Mimi ni mtumiaji wa Clubhouse kwa miezi miwili hivi. Nina swali moja, huwa ninashindwa kujiunga na ma-group... Yaani kuwa member. Niki-click pale kwenye...
1 Reactions
3 Replies
928 Views
Mimi ni mwandishi mchanga wa vitabu, nimekutana na hii document somewhere; naomba kuuliza kwa Anayefahamu jina la font hizo kwenye picha hii
4 Reactions
11 Replies
1K Views
"Tech & Gadgets" linavyopoteza Thread zenye Mvuto na Kuwa jukwaa la Misaada 2015 N:B Ain't joined here long ago, but atleast i know then and now. Siku zinavyozidi songa mbele jukwaa letu pendwa...
6 Reactions
63 Replies
7K Views
Aplikesheni ya Signal imeongeza kipengele cha malipo, kinacholenga kutuma na kupokea MobileCoin kama mfumo wa malipo ya faragha. Na ingizo la Signal Boost kama njia ya kuichangia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuna deal na simu za aina yeyote ile kwa tatizo linalohusu software basi hapa ndo nyumbani unaweza jipatia frmware pamoja na tool yake kwa free kabisa na ukakamilisha kazi yako bila shida kabisa...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Nawasalimu ndugu zangu. Nilinunua TV aina ya Boss lakini sasa imenichosha, kila siku inaungua taa. Nataka sasa kununua ya kampuni moja wapo kati ya Samsung, Sony au TCL. Sasa je kuna TV...
2 Reactions
50 Replies
11K Views
Habari wadau, naamini mko poa. Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu cloud computing na nikafikia hatua ya kutaka kujua kiundani, katika kufuatilia kwangu nikagundua kuwa naweza kujifunza...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wananzengo hususani wa Jamii Forum!Mimi ni mojawapo ya watu ambao wana uelewa hafifu wa mambo ya simu hasahasa mambo ya KAMERA. Jamani Nina mpango wa kununua simu moja wapo Kati ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…