Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu ndugu zangu Nina PC Aina ya HP niliiweka kwenye Chaji Usiku Sasa asubuhi nimeamka naona Haiwaki kabisa, vilevile Button ya Kuwashia PC naona imekuwa inatoa ka MWANGA hafifu nimejaribu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu habar. Kuna mtu anataka kuniuzia fjiji Aina ya Von milango miwili. Ni friji dogo. Sasa sina utaalam na friji na hata muuzaji hafaham linatumia unit ngap Kwa siku. Mwenye kujua Kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
- Kivinjari (Browser) ni programu ya Kompyuta au Simu ambayo hufanya kazi ya kupangilia, kuleta na kuonesha maudhui kutoka kwenye tovuti. Unapobonyeza kiungo (link), unatumia kivinjari kutembelea...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Habar wadau Mdogo wenu bado nakimbizana na mambo ya programming huku sasa nataka nirahisishe mambo kuna mda nadownload source code files in my phone naziextract vzr tu sasa kuna mafile yenye...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau nitatapa wapi betri ya mobile wifi ya aina hii
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wanajf, Naomba msaada jinsi unavyoweza fanya setting ya whatsapp ili mtu asione kama umeview status yake.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu msaada tutani ,nina changamoto ya kuingia menu kwa simu ya Samsung Galaxy Z ford 2 nimanisha mfano kuingia kwenye tigo pesa au mpesa kwa menu yake , kuunga vifurushi n.k tatizo limeanza...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu nina shida na kioo cha tecno phantom 5 ila kiwe na bodi lote maana hii nilioletewa imevunjika vunjika mwenye nayo tuyajenge
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Wadau habari za majukumu, naomba kuuliza kwa wanaojua au ambao tayari wameshatumia simu hizi zinazopigiwa promo kwa sasa na makampuni ya Vodacom na Tigo maarufu kama Kitochi 4G Smart. Napenda...
3 Reactions
66 Replies
23K Views
Mimi bana ni mshamba Nahitaji kununua tv nch 65 mostly! Naombeni ushauri ipi cheap na nzuri. Nilikuwa na hisence 55` ikapasuka kioo. Nataka nione tofauti na hizo brand zingine. Naombeni...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu Apple imekuwa ikizuia wateja wake wasijitengenezee simu, Macs au vifaa vya Apple; au kutumia mafundi ambao hawajasajiliwa na Apple. Hali hiyo ilipelekea Apple kufunga na kuzuia watu...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Instagram imeongeza muda wa Stories kutoka sekunde 30 na sasa kufikia 60. Kwa sasa watumiaji wa iOS ndio wanaweza kutumia kipengele hiki cha sekunde 60 na hivi karibuni kuwafikia Android.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitag kununua decoder aina ya canal + mwenye uzoefu na hii decoder kuanzia kwnye installation mpka kwenye matumizi na ulipaji wa vifurishi tafadhari msaada.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
1. Clicking on e-mail attachments from unknown senders Hopefully your user community has learned by now to avoid e-mail “stranger danger.” When it comes to attachments, if you don’t know who sent...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa sniper games, huu muendelezo wa Sniper Elite V2 ni mkali sana. Of course ni game ya zamani but hua sichoki kuicheza. By the way ni software gani nzuri kwa game boosting wakuu kwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza hivi ECU/ECM inaweza kufanyiwa reprogramming
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Wana jukwa leo nimeletewa zawadi ya king'amuzi kinacho tumia laini internet pamoja na dish sasa kufungua nipate chaneli imekuwa inshu nime search nimepata channels 3900 sasa azifunguki msaada
1 Reactions
9 Replies
935 Views
Mfumo wa End-to-end encryption unazuia WhatsApp, mitandao ya simu na kampuni za Internet kuona kinachoendelea katika mazungumzo, messages na files. Lakini hapo mwanzo mfumo huo ulikwepo katika...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts. Kwa kawaida unaweza kuzuia “Last Seen” isionekane iwe inaonekana kwa marafiki zako tu...
11 Reactions
120 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…