Haichoshagi hii game...!!

Haichoshagi hii game...!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Kwa wapenzi wa sniper games, huu muendelezo wa Sniper Elite V2 ni mkali sana. Of course ni game ya zamani but hua sichoki kuicheza. By the way ni software gani nzuri kwa game boosting wakuu kwa laptop ambayo Haina specs za kutisha?View attachment 2024895
IMG20211127101245.jpg
 
Kwa wapenzi wa sniper games, huu muendelezo wa Sniper Elite V2 ni mkali sana. Of course ni game ya zamani but hua sichoki kuicheza. By the way ni software gani nzuri kwa game boosting wakuu kwa laptop ambayo Haina specs za kutisha?View attachment 2024895View attachment 2024896
Hizo software za boosting kazi yake ni kudedicate Ram na Cpu kwenye game, jambo ambalo unaweza kufanya mwenyewe.
Ukitaka kucheza game nzito dawa ni kuwa na mashine nzito pia.
Game zuri kwa mashine rojo rojo lililojaa action, gadgets za uhakika na linachezeka hadi kwenye pc za gb 2 ni HALF LIFE 2.
Half Life ndo game bora la fps la muda wote duniani ( kama unabisha google)
Kuna silaha za kila aina humo, sniper rifles, gobole, mishale n.k
 
Kwa wapenzi wa sniper games, huu muendelezo wa Sniper Elite V2 ni mkali sana. Of course ni game ya zamani but hua sichoki kuicheza. By the way ni software gani nzuri kwa game boosting wakuu kwa laptop ambayo Haina specs za kutisha?View attachment 2024895View attachment 2024896
kwangu tomb raider ndio the best game of all.time japo nimemaliza zote ila ile ya kwanza ya mwaka 2013 ni kari
 
Hàhaha, kitambo sema sijawahi ikubali. Achana kabisa na COD wewe
 
Leta pesa nikuuzie ps3 ucheze vzr hilo nilicheza nikafika sehem unatakiwa ulipue zile sehem za heavy equipments ziko sita nikaikosa moja hadi leo
 
shingapi mkuu na,ni model gani iyo
 
kwangu tomb raider ndio the best game of all.time japo nimemaliza zote ila ile ya kwanza ya mwaka 2013 ni kari

Mi hunielezi kitu kwa GTA tena bado navinjari na GTA za zamani mashine yangu ndogo

Kimsingi huwa napenda kuranda randa tu na kuanzisha misala
Sipendi game za kunibana bana sijui ku complete mission au nini
Mi nataka nipande gari niende nikaibe bank nianzane na polisi
Mara nikatize mitaa ambayo nipo wanted nilianzishe..... ivo yani
 
Ahsante kwa taarifa, ngoja waje kukupa muongozo...
 
Mi hunielezi kitu kwa GTA tena bado navinjari na GTA za zamani mashine yangu ndogo

Kimsingi huwa napenda kuranda randa tu na kuanzisha misala
Sipendi game za kunibana bana sijui ku complete mission au nini
Mi nataka nipande gari niende nikaibe bank nianzane na polisi
Mara nikatize mitaa ambayo nipo wanted nilianzishe..... ivo yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], inaonekana we ni mzee wa 5 stars wanted
 
Mi hunielezi kitu kwa GTA tena bado navinjari na GTA za zamani mashine yangu ndogo

Kimsingi huwa napenda kuranda randa tu na kuanzisha misala
Sipendi game za kunibana bana sijui ku complete mission au nini
Mi nataka nipande gari niende nikaibe bank nianzane na polisi
Mara nikatize mitaa ambayo nipo wanted nilianzishe..... ivo yani
me gta siipendi sana,hapa nasubir mwakani wanatuletea uncherted kwenye version za,pc na god of war 4 najua pc yangu lazima itasukuma,tu hizo game
 
Back
Top Bottom