Kwema wakuu!
Kuna hili tatizo nalipata kwenye chrome. Huwa kuna muda kuna kitu kina-jidownload lakini niki click kwenye download ili nikistop hakionekani.
Niki-Click kama nataka ku-exit chrome...
Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika...
Habari wataalam nifafanue kidogo ni kwamba kuna wakati huwa nalifuta faili la whasap kisha nalirudisha.
Sasa hapo ndio huwa shughuli inaanza au tuseme vita ya kiev na moscow inapoanza meseji...
Naomba msaada, namba yangu ikipigwa nikichelewa kupokea simu yangu anapokea mtu mwingine ambaye simjui.
Natumia Samsung J7 Pro
Sent using Jamii Forums mobile app
=== Suluhu iliyomsaidia kuondoa...
Wakuu kwa bahati mbaya kioo cha kamera ya simu yangu aina ya Infinix Hot 11 (kamera tatu Kwa nyuma). Kimecrack hivyo kufanya camera kutokupiga picha angavu. Msaada Kwa wapi naweza pata replacement...
Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga.
Ingia settings
bofya screen time
turn on screen time kama...
Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha.
Naomba programmers/developers wa Blockchain na...
Nadhani wale wenzangu na mimi mnaotumia Paypal mlishawahi kukumbana na tatizo la paypal kushikilia pesa yako kwa miezi 6 na kisha baada ya hapo kukwambia uitoe ila option iliyopo ni kupitia...
Habari waungwana..
Naombeni msaada juu ya namna gani naweza kupata driver ya printer hp deskjet 2320, natumia Window 10,Version 20H2
Os build 19042.746.
Nimejaribu kudowload(Hp smart, hp easy...
Habari wanaJamiiForums
Nina mpango wa kusajili website yangu itakayohusu masuala ya kitaaluma, na nilitamani iwe na kikoa cha DOT ACADEMY (.academy) ukizingatia kwamba kwa . TZ sijaona domain...
Habari wapendwa ,
Nimefanikiwa kudownload game la PS3 "The evil within" kutoka torrent site, na sasa napata shida ni namna gani nitaweza install katika PS3 Jailbroken yangu.
Naona kila mbinu...
Habari za muda wakuu,
Napenda kujua taratibu za kuagiza simu china na south korea maana kuna chimbo nimepata ya kupata Refurbished phones kwa bei kitonga sana ila nmejaribu kuwasiliana na ARAMEX...
Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo.
Naomba mnipe faida na...
Habari wana JF-Science Forum
Nina tatizo na jinsi ya kum-tag mtu katika post au ku-link web au kitu katika post, je vitu hivyo viwili naweza kuvifanya vipi humu kwenye JF?..
Kama kuna uzi ambao...
Jinsi ya kutengeneza virusi hatarishi
Tunaishi kwenye ulimwengu wa Teknolojia ambapo wengi wetu tunatumia simu au kompyuta kufanya mambo mbalimbali ulimwenguni. Najua umeshawahi kusikia kuhusu...