🔥 Je, SSD Yako Ina Afya Nzuri? Hivi Ndio Namba Zinavyosema
Wengi hudhani SSD (Solid State Drive) ikishafanya kazi basi haina matatizo—lakini ukweli ni kwamba, kila SSD ina maisha yake. Kila namba...
Je, umewahi kujiuliza programu zinazotumika kwenye simu yako au kompyuta zinafanyaje kazi? Au unatamani kuunda programu zako mwenyewe? Basi kujifunza programu kwa kutumia Java ni njia nzuri ya...
Xiaomi wamekua wakitoa models za Xiaomi (zamani Mi) flagship tokea 2011 walivyotoa Mi 1 hadi 2021 wakaona waziite tu Xiaomi 12 na kuachana Mi.
Sasa mwaka jana walitoa Xiaomi 15 ikiwa na simu nne...
Wakuu habari?
Nataka kupendezesha kasebule kangu, nakosa mdundo mzuri tu sebuleni. Wadau wanashauri ninunue Sound Bar za JBL.
Nimefanya ununuzi wa madirishani kwenye baadhi ya maduka yanazouza...
Kampuni ya kutengeneza 'Videogame' ya Electronic Arts (EA), ikiwemo EA Sports, imeuzwa kwa thamani ya dola za Marekani bilioni 55 na kugeuzwa kuwa kampuni ya binafsi. Wanunuzi hao ni pamoja na...
Wakuu habari za boxing day.
Mojawapo ya mipango yangu ya 2024 ni kubadilisha na kupendezesha kisebule changu na vifaa vya kisasa vya kielektroniki.
Sasa nilikua naomba ushauri ama review ya...
Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)
Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku...
Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd...
Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya...
Kutoka SIM Card Hadi eSIM
Mapambano ya Kidijitali Kuhusu Nani Anayedhibiti Utambulisho Wako
Vipii Umewai kujiuliza Je, Tunamiliki Nambari Zetu za Simu, au Nambari Ndizo Zinatumiliki?
Katika...
Kumekuwa na maneno mengi kuhu hii IOS 26 leo mimi nika amua kujitoa mwanga nime fanya update up now ipo vizuri napiga simu na pokea sms haina shida zaidi naona simu ime kuwa nyepesi zaidi uki gusa...
kWh (kilowatt-hour), Wh (watt-hours), mAh (milliampere-hour), V (Volts)
Unit 1 ya shilingi mia tatu ni sawa na 1000 Wh ( 1 kWh)
Tuchukue mfano wa simu ya smartphone yenye betri kubwa ya 4,000...
Naomba msaada wa laptop nzuri kwa ajili ya masomo. Software zinazotumika kwenye kozi husika ni CAD, baada ya kufuatilia
Naomba msaada ni laptop ipi infaa kwa 800K hadi 900K mwisho
Pia kuna...
Habari wakuu,
Kuna uwezekano Picha zinazopigwa na Smartphone hizi za kisasa zikaizidi kiwango kamera ya kawaida? (Sio professional camera)
Nimeuliza kwa sababu simu hasa hizi High end zinakuja...
Kompyuta yako si kifaa kinachofanya kazi kimya kabisa. Ndani yake kuna fans, diski zinazozunguka, na sehemu za kielektroniki ambazo kwa kawaida hutoa sauti ndogo. Lakini pale sauti zinapobadilika...
Wakuu karibuni tuwasaidie huduma za IT SOLUTIONS
HUDUMA ZETU NI KAMA ZIFUATATAZO:
1.COMPUTER MAINTENANCE
#Software
#Hardware
2.COMPUTER ACCESSORIES
# SSD 512 GB, 1TB, 2 TB...
#RAM 8GB, 16 GB...
Watu Wengi Wananunua MacBook Bila Kujua Mambo Haya 3 Muhimu Wewe Usiwe Mmoja Wao
Kwenye ulimwengu wa teknolojia, jina la MacBook limejijengea Heshimaa kubwa.
Ni kweli, ni laptop zenye muundo...
Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta.
LAI ...
Hata sikuwahi kujua facebook inalipa, Nilikuwa naichukulia kama jukwaa la kuangalia picha za marafiki, kuchungulia maisha ya watu na kupoteza muda kwenye memes. 😂
Lakini, Jumamosi iliyopita...