Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile) Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US, kwanini nasema ni mpango wa US...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Hatari Wana jukwaa Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu. Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu...
5 Reactions
7 Replies
286 Views
Unajua app ya message uliyonayo inaweza kufanya jambo zaidi ya unavyofikiria kabisa ? Kuna mambo mengi ya siri unaweza kuyafanya kwenye app yako ya Message ambayo hukutegemea kabisa. 5️⃣ Message...
6 Reactions
6 Replies
894 Views
Watu wengi hawalijui hili! Utashangaa kadiri unapozidi kufuta vitu kwenye simu yako (Picha/ Video? na ukiamini kuwa umefuta permant kwasababu ulifuta hadi kwenye recycle bin ila simu inapungua...
9 Reactions
12 Replies
656 Views
Laptop Gani Inafaa Kazi Yangu ? Kwa Nini Swali Hili ni Muhimu? Kila mnunuzi wa laptop anapofika sokoni au anapotafuta mtandaoni hukutana na swali moja kuu 👉 “Laptop hii itaendesha software zangu...
2 Reactions
7 Replies
785 Views
Naomba kupata fundi wa fridge aliyepo tanga
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Teknolojia zina shika kasi sana.Kwenye Iphone 17 nimeona mfumo wa setelite ina maana mbeleni kutaweza kuwafanya watu wapate wanachokitaka sehemu yoyote. Huku kwetu tumeona hii tabia ya kuzima...
5 Reactions
19 Replies
625 Views
Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa...
1 Reactions
9 Replies
319 Views
Time flies. Tarehe 9 January 2007, Apple walizindua iPhone ya kwanza. Katika uzinduzi Steve Jobs alisema, “An iPod, a phone, and an internet communicator... These are not three separate devices...
5 Reactions
17 Replies
334 Views
Jinsi ya ku ‘root’ simu yako ya Android. Utangulizi: Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani...
17 Reactions
400 Replies
100K Views
Wakuu habari za wakati huu, mwaka mpya unaingia nimrjipanga nianze kufanya issues za Interior Designing mambo ya sketchup so nahitaji pc yenye specs kama hizo hapo chini. Intel Core i7/i9 or AMD...
9 Reactions
84 Replies
2K Views
Habari. Natumia Infinix smart 6 Nikita kukata simu kwenye display inaonesha rangi nyeusi mpaka akate MTU niliye mpigia. Nawezaje kuondoa hii??
8 Reactions
59 Replies
858 Views
Imagine ubora wa Azam Tv lakini wanaangushwa na App yao. Watu wana studio kali, OB Van kali, Camera za kisasa. Mnashindwaje kutengeneza App yenu iwe imara muda wote? Mtu uko mbali na nyumbani...
13 Reactions
25 Replies
852 Views
habari ndugu mbona huu mtandao wa x twitter kwangu haufunguki na ninatumia vpn kama proton na 1.1.1.1 wrap lakini wapi,msaada tafadhari
1 Reactions
3 Replies
276 Views
Spec Ndogo Inayoamua Kama Upgrade Yako Itafanikiwa au Itakwama Kwa miaka ya karibuni, SSD zimekuwa chaguo la kawaida kwa watumiaji wa laptop na desktop wanaotaka kuongeza kasi ya mifumo yao. Watu...
1 Reactions
1 Replies
166 Views
  • Redirect
habari ndugu mbona huu mtandao wa x twitter kwangu haufunguki na ninatumia vpn kama proton na 1.1.1.1 wrap lakini wapi,msaada tafadhari
0 Reactions
Replies
Views
Kama last year hivi mwanzoni niliingia ulimwengu wa mobile app baada ya kuwa kwenye web kwa kipindi kirefu. Sikuwahi kufanya Vibe coding hapo nyuma(programming kwa kutumia AI) kutokana na hizi...
1 Reactions
2 Replies
209 Views
Heshima kwenu, natamani kupima shamba langu kwa kutumia app, maana nimeshindwa kuligawa ili nipime kwa futi kamba, anae ijua anijuze
0 Reactions
4 Replies
485 Views
Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu...
6 Reactions
69 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…