Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Baadhi ya watu waliosoma Stanford na kampuni zilizozaliwa chuo hiko. Government: 3 current Supreme Court Justices (Chief Justice William Rehnquist along with Associate Justices Anthony Kennedy...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wamejaribu mafundi kwa kubadili AVR Lakini wapi. Naomba msaada kama yawezekana kupata Circate mpya niendelee kupata Habari. Tafadhali nisaidieni
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Nahitaji mfuniko wa cm aina ya htc nexus one
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Almost new Nikon D3100 with digital SLR features for sale. Some of the features include: DX format, 14 megapixels, capable of video recording, 18-55mm lens, 3 inch LCD screen, built in flash...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
naombeni msaada wa program nzuri, rahisi kutumia na ya haraka kwenye kudownload muvi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuuu za asub. poleni na mishe mishe. Naomba kujuzwa nitajuaje kama simu ni original au fake? Nipeni maujuzi kabla sijaibiwa. Asanteni
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Je kifurushi cha internet cha Airtel ambacho lilikua kinapatikana kwa kutuma keyword INTERNET kwenda 15444 ni kiasi gani kwa sasa? Mwanzoni ilikua 2500/= unapata 400MB kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hilo tatizo ni common sana kwa laptop nyingi,ila maranyingi huwa linanipa tabu kwenye kulitatua,naomba mnipe somo kidogo juu ya hili, kuna upande mmoja unakuta fan inawaka kidogo theninakata na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salamu wakuu! Nimenunua blackberry storm 9530 lakini nimekutana na changamoto zifuatazo: 1. Nikipiga *102# au kuingiza voucher *104*13682....# haiendi kwa njia ile ya kawaida unapo dial kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu wajuvi wa jamvi hili, salaam! Naomba msaada wa kitaalamu. Kuna PC yangu (Desktop) inanizingua sana.Tatizo lililopo ni kwamba, ninapoiwasha na ku-chomeka Modem, huwa ina-restart yenyewe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani mwenye ramani anitafute mimi niko mwanza ya vyumba vitatu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
simu yangu tecno n3 haiplay video za yotube nisaidien please nifanye nin
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Nna kimeo changu cha BBerry 9300 ambacho nakitumia mara kwa mara. Sasa tatizo last Monday niliupgrade system yake from version 5 to 6. Kila wakati inansumbua inasema memory ndogo nifute baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Polen na majukumu ndugu zangu pia nawatakia wikendi njema.Jaman. naomb kujua ni jinsi gani naweza Piga free call mana saizi wanakula sana hela wenye maujuzi tunaomba.nawasilisha hoja
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanye file la PDANET Full version, au mwenye linki ya kuaminika ya ku-dowload hiyo application full version, naomba anisaidie. Natumia PDANET kupata internet kwenye pc. Hii niliyonayo haifungui...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Naombeni munijuze Jinsi ya kuactivate window 7
0 Reactions
2 Replies
987 Views
DOWNLOAD LINK More Info CLICK HERE
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za asubuhi humu jamvini natumai mko poa,Nasumbuliwa na hili swali hivi aliyechora ramani ya dunia alitumia nini na teknolojia gani kuichora ramani ya dunia? Na alikuwa amesimama wapi wakati...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
jamani mwenye activator ya windows 8 release previews build 8400 anisaidie kuipiga chini naona ishu kwa sababu naipenda sana nisaidieni niweze kuiactivate jamani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…