Kuna hii website wana kila aina ya ala ya mziki ambayo unaweza ukaplay live kwenye pc yako na hata pia kurecord ulichokigonga kwenye ala husika. Pia hata kwa wasioplay vile vile in leisure time...
Leo naenda kununua kingamuzi~huku iringa hakuna star times digtek wala continental kwa hiyo nataka.ninunue Mediacom.je nitaona TBC star TV ITV eatv na channel ten?
Wakubwa nilinunua samsung galaxy s2 used , sasa ikajilock nilimpelekea fundi anisaidie kuifungua akasema ataiflash.
Baada ya kumwachia hiyo simu , kaipoteza na badala yake kanilipa Samsung galaxy...
habari zenu wana jukwaa, I hope you are all well! computer yangu ni aina ya hp 650, leo hii imepatwa na tatizo ambalo nimeshindwa kulielewa kabisa ndugu zangu! kila ninapotaka kuizima baada ya...
Ni miezi kama 8 sasa nchini tanzania tumejipatia njia mbadala ya huduma ya internet.haijalishi ulianza kupata huduma hii kwa shiling ngapi kwa mwezi.ila sasa utaweza kuipata huduma hii...
Pole na hongereni kwa majukumu,
Naombeni msaada katika iPad two, kuna mfumo wa outomatic words correction, ni tatizo kutokana na maneno mengi ya kiswahili kutolingana na lugha iliyosetiwa...
Wana JF leo tumerelease version ya kwanza ya social networking yetu inayoitwa FRITYM ambayo imetengenezwa na sisi vijana wa kitanzania,tumetengeneza FRITYM kurahisisha usambazaji wa taarifa...
Habari,
naomba msaada wa kuondoa frame kwenye kazi iliyochapwa kwenye word 2007;
nimeweza but kuna vistali vya blue (broken lines) ambavyo vinatokea na kuwa kikwazo naomba msaada wa kuviondoa...
Kaeni chonjo wakuu hii ishakuwa noma Microsoft Security Advisory (2896666): Vulnerability in Microsoft Graphics Component Could Allow Remote Code Execution
nmeletewa pc mpya kutoka uk haiingiz chaj kwa betrii ake ilokuja nayo na nkiweka betrii nyngine inaingiza chaj pc n aina ya 'acer aspire', nmejarbu pia kubadlsha chaja cjafanikiwa na nmeinstall...
Wakuu nmecheki bei za toyota passo kwenye mtandao naona ni nzuri tu yan gar cc 998 na 1000 unapata kwa bei poa FOB 849-1200
sasa ushauri wenu unahitajika maana nilitaka kuchukua IST ila nimegairi...
Niliweka ujumbe mm binafsi kutaka kununua mini laptop nashkuru wapo walionitafuta kwa hilo , ila pia wapo walionishauri nisinunue minilaptop na pia nmeona ujumbe wa user mwengine pia alipata...