Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ghafla nimekutana na hii Tv station mpya ktk kingamuzi cha Startimes. Ni nani wamiliki wa kituo hiki?
0 Reactions
12 Replies
8K Views
kuna namba nataka kuziblock zinanisumbua sana. nahitaji msaada wenu sababu nahitaji ni zifunge leo hii wakinipigia zisiingie
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Even if we treat our laptop’s battery properly, its capacity will decrease over time.... . Je Wewe huwa una connect charger all the time?...... . When the charge it is complete die out? ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
My office projector Mondevue AMV-X2500 is not working (projecting) and I am told that it needs new "jicho" projection lens. Anybody who can assist, I am based in Arusha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wengi mmekua mkirequest hii feature sasa kwa wale wa android kuna solution ambayo ni hii app. PROOF kama kwenye picha inavyoonekana kuna msg za saa 6 na dakika 32 lakini still last seen ni...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Heshima mbele wana jamvi !! Kichwa cha habari kinajieleza . Kuna simu hapa HTC sensation xl haishiki 3g nimejaribu kila njia network mode nimeweka auto lakini inashika edge tu !! Wajuzi tiririkeni !!
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau natafuta PS 3 Emulator nzuri ambayo inarun bila matatizo yoyote naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuipata
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Who can assist me to recover my lost files from a formated disk?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello Fellas, just curious kati ya hizo mbili which one would you rather choose kama wahitaji kudevelop website?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
It comprises of 1 Cisco Catalyst 3560 switch 1 Cisco Catalyst 3550 switch 2 Cisco 2800 series router 1 Cisco Catalyst 2960 switch 1 Cisco 2600 series router X64 windows 2012 server X64 windows 8...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Welp, To todays date all research indicates we are 100% deterministic. While there is quantum instability beyond the atom the atoms of our mind are stable. Neurons are made of atoms and no...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
jaman nina hp kila ninapoingia net inajilock,mpaka nimebadilisha window lakini tatizo bado ni hilohilo,naomba msaada kwa anayejua
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Wakuu naomba Msaada wa jinsi ya Kubadilisha jina ninalotumia humu jf,munipe hako kaufundi wajameni
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Wakuu naombeni msaada wa maelezo kwa anayefahamu namna ya kuconnect dvr kwenda kwenye tablet au simu ya android.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau natafuta hose(kiunganishi cha kabureta na engine) ya pikipiki yangu tajwa hapo juu. Nimejaribu kuitafuta Moshi bila mafanikio. Mwenye idea jinsi ya kupata spea anijulishe.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba ushauri, nina laki nane cash...nataka kufanya uamuzi wa kununua simu ya touch screen, nzuri, imara, maridadi yenye kioo kipana. iwe kubwa maana mimi nina mwili mkubwa nataka...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Hii ni ndege itakayokuwa na uwezo mkubwa sana kuli ndege yoyote ya kivita kutengenezwa! The Future of Military Dogfighters (Full Documentary) - YouTube
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimenunua dish na dekoda ya zuku mpya sh.65000.niko kijijini sana hakuna fundi.mwenye ujuzi jinsi ya kufunga anielekeze.nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hi guys, tafadhali naomba mwenye rendering software ya artlantis version 4.1 na key zake aiweke hapa nimekwama sina ujanja. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni project ambayo nime i-design kwa ajili ya kuwasha taa au kitu chochote kinacho tumia umeme mkubwa kwa kutumia remote control kwa umbali zaidi ya mita 10. REMOTE YAKE RECEIVER YAKE...
11 Reactions
19 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…