Mmiliki wa Tv 1 ni nani?

Mmiliki wa Tv 1 ni nani?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,202
Reaction score
8,787
Ghafla nimekutana na hii Tv station mpya ktk kingamuzi cha Startimes. Ni nani wamiliki wa kituo hiki?
 
Duuh PakaJimmy.. toka tulivyoingizwa kwenye ulimwengu wa dijiti yaan tumepoteana.. Maana tv station utayoikuta startimes unaweza usiikute dijitek au continental au zuku au ting..
 
Last edited by a moderator:
Duuh PakaJimmy.. toka tulivyoingizwa kwenye ulimwengu wa dijiti yaan tumepoteana.. Maana tv station utayoikuta startimes unaweza usiikute dijitek au continental au zuku au ting..
Aisee!
Ngoja basi niwe na subira huenda nikajibiwa na mtu anayetumia Startimes. Hiyo stesheni imenivutia maana inachanganya picha za Bongo Movie, Nigeria, Kenyan etc, na wanaonyesha picha masaa yote...ha ha haaa!
 
Ni mali ya modern times Group (MTG) ya Ghana.Hata hao startimes wameiweka tu kama promo then itakuwa ya kulipia.
 
Tv 1 wapo na wakuja vizuri mi mwenyewe nimekubali kazi yao!!
 
Ni mali ya modern times Group (MTG) ya Ghana.Hata hao startimes wameiweka tu kama promo then itakuwa ya kulipia.

kuna picha nimeiona facebook
nashindwa kupaste hapa
cheki hii link inayoonyesha wafanyakazi wake...
https://m.facebook.com/photo.php?fbid=631718963560625&id=100001675800183&set=t.747026210&source=42&refid=17
 
Back
Top Bottom