Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hii simu ni brand new na kuna app inahitaji simu iwe rooted
0 Reactions
0 Replies
728 Views
jaman marafiki nina modem ya vodacom huawei E303 matatizo yake ni zile upload kpbs zinapafom kwa uwezo mdogo kweye window 7 solution yake ni nini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za Leo wanajamii. Nahitaji hii game. mwenye setup ani pm niweze ku-install. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Wadau mganga hajigangi,nazitamani sana ligi hizi lakin sijui nifanyaje,nina dishi la zuku,je naweza kulitumia ktk sat ya Amos5.? Je ilo dishi nili elekeze upande gani.? Mana ktk io sat naitaka...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu naomba nini maanaa ya D-4 VVTi engine na VVTi engine ya kawaida. Sijui tofauti ni nini? Natanguliza shukrani
0 Reactions
13 Replies
18K Views
Wakuu, Kwa mtu yeyote anayeweza ku unlock iphone 4s toka UK au anaemjua mtu anayeweza please assist and aniambie na gharama ya hiyo service Ningefanikiwa mapema zaidi ningeshukuru wakuu Sent...
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Smartphones are cool gadgets that enable us to do lots of stuff daily. However, to optimize the functions of your smartphone, you need additional accessories to enhance particular functions and...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Nahtaji kubadili camera ya simu kuwa security camera,ni jambo gumu na nimefanikiwa kwa kiasi kidogo sana..yoyote mwenye msaada ju ya hili anisaidie
0 Reactions
1 Replies
888 Views
kutokana na kuwepo kwa application ya jamii forums kwenye simu za android na blackberry na iphone,Mimi kama mtumiaji mgumu wa s40 phone mtanisaidiaje au mtatusaidiaje na sisi kupata hiyo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
multiple publication this one has been deleted!Go for the next one!
0 Reactions
0 Replies
680 Views
King'amuzi cha zuku kimezima hakionyeshi kitu kabisaa kwa anayejua nifanyeje ili kupata channel tena.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mwenye hii kitu.ajongee tufanye biashara nahitaji dvd room iwe used
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Salaam wana JF: Nimeistall 3 mobie Broadband ktk PC yangu kwa ajili ya kuconnect internet kwa kutumia modem inyotumia SIM card.Sasa nikipigiwa simu software inarespond na inatoamlio wa...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
  • Poll Poll
Salaam wakuu: Nimeistall 3 mobile Broadband software ktk PC yangu kwa ajili ya internet connection kwa kutumia modem inayotumia SIM card.Huwa nikipigiwa simu hii software ina sense na inprovide...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jinsi ya kujua password ya call barring kwa NOKIA N70
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Habari zenu ndugu zangu..nimenunua ps2 console slim black yenye uwezo wa ku-play burned dvd games kama zile za kariakoo za buku tano (5000)..je hii ps2 console ina chip yoyote ndani yake au haina...
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Confirmed: Oldest Fragment of Early Earth is 4.4 Billion Years Old .View gallery...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
1. No QHD resolution QHD (not to be confused with qhd) ni resolution ya 1440 x 2560 . flagship phones za mwaka jana zote zimetoka na resolution ya 1080 (1920*1080). while hii ilikuwa a "huge"...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamvini? Naomba kuuliza je ni simu zote zenye kutumia windows haziruhusu huduma kama za mpesa, sim banking au ni simu yangu tu? Na kama ni zote haziruhusu ni kwanini...
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…