Ph-25
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 1,159
- 540
Wejamaa embu njoo huku utoe majibu,mmu unatafuta nin.? Watu tumekwama mkuu
cc: the locksman
FTA nyingi zinaonyesha champion leageue mechi zinazochezwa jumatano tu kama tv oromia, mbc3, nk ila jumanne ni FTA moja ambayo inakuwa active muda wa mechi (feed) etv hiderpark, ila kwa mpenda soccer suluhisho ni kutafuta reciver ya mpeg4 kama strong srt 4922 ARSELONA alikuwa nazo ili uitafute arabsat 5 at 20e upate chanel za Irib.
mkuu io tv oroma inapatikana ktk sat gan.?
Mavella. nakubaliana na wewe. Kwa sasa kupata IRIB Package ndo mpango mzima. Mechi zote za UCL za jana zilipatikana IRIB za leo zitapatikana pia.FTA nyingi zinaonyesha champion leageue mechi zinazochezwa jumatano tu kama tv oromia, mbc3, nk ila jumanne ni FTA moja ambayo inakuwa active muda wa mechi (feed) etv hiderpark, ila kwa mpenda soccer suluhisho ni kutafuta reciver ya mpeg4 kama strong srt 4922 ARSELONA alikuwa nazo ili uitafute arabsat 5 at 20e upate chanel za Irib.
mkuu vp kuhusu na hawa ORTB TV ya benin nao hawaonesh.?
tv oromiyaa waeza kuzipata katika SAT YA AMOS 5 @17'E katika C band freq3626 R syr 2000,na katika KU Band sat hiyo hiyo ya AMOS 5 @ 17'E 12216 V 27500
Elimu ya Bure kuhusu Azam tv. Pitia hapa kuna fr zinazokubari zuku.
Wejamaa embu njoo huku utoe majibu,mmu unatafuta nin.? Watu tumekwama mkuu
cc: the locksman
Hizi channel hapa chini zitaonyesha game ya arsenal na bayern munich
jaribu kucheza na dish yako
ZDF 13° EAST 11054 H 27500 FTA
ZDF 19°EAST 11953 H 27500 FTA
NTV RUSSIA 75°EAST 12640 V 22000 FTA
Wadau nimefanikiwa azma yangu,kwakutumia dish la zuku la futi2 na receiver ya mediacom nimeweza kupata satlite mbili kwa mpigo
a) Amos5 ku @17
nimepata chanel zifuatazo .apostoric churc,oroma tv,ctv,favior tv,angel tv,jhs tv,omn na french 24.
B)eutel sat16 @e
nimezipata,rdv,crtv,lcf,tchad national tv,dbs,canal 1&2,impact tv,suna tv,2stv,wisal hausa, french 24,golfe tv,rtg 1,suna tv1,stv1,tv5 monde,ltm tv,equenox tv,stv2,ortb,na racine tv.
Nimejaribu nimeweza,fanya na wewe mku.
ndio mkuu,ziko tatu hapo, stv1,oroma na io moja ya benin,na jana nime zicheki zote ziko vizur mkuu.