Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mada hii imeshajadiliwa na wenzetu kabla. Hata hivyo kutokana na umuhimu wake ni muhimu kuijadili katika vipembe vingine kuzidi kuifahamu Microsoft wameshatangaza kuwa toleo la windows 10 liliopo...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Nauza laptop Elitebook HP 830g5 Resolution HD Cpu2.5 -3ghz Size 14 inch Bei 400,000 Location Dar Contact 0713307733
0 Reactions
1 Replies
422 Views
Why Choose Power Query Training with Us? Hands-On Learning: Our training is practical and hands-on, ensuring you gain real-world skills that you can apply immediately. Expert Guidance: Learn from...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Habari Earphone za buku mbili mbili na za buku jero zimenichosha sababu hazina maisha marefu wiki mbili tu zinaanza wenge sasa nataka niji upgrade nipeni jina la earphone nzuri ya 5,000 mpaka...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello bosses........ Nadhan hii inawakuta watu wengi pia. Kuna muda unafanya decision bila kuwa na sababu yoyote ya msingi au logical. Hii wazungu hupenda kuiita 'gut feeling'. Yaan unaweza panga...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi wa muziki na miaka 3 nyuma nilikuwa naweza kupakua miziki niitakayo kutoka YouTube yeyotena kuisave ili kuiplay kutumia y2mate lakini kwa sasa naona nakwama. Naomba msaada kwa...
2 Reactions
6 Replies
823 Views
Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja. Kwa mfano katika muundo...
21 Reactions
253 Replies
13K Views
Wadau habari Nauliza kuhusuuborawa izi lens za canon fx1.8 50mm izilens kwa mdau aliye wahi kuzitumia izi lens je anaweza akashare tips za izi lens
0 Reactions
9 Replies
920 Views
google play services wanachukua kias Cha sh 4000 kwa mwezi mmoja.kila mwezi lakini situmii huduma yoyote kutoka kwao..ila niliwai kuingia mtandaoni nikaingiza namba ya Siri ya kuunda tu sio ya...
3 Reactions
15 Replies
902 Views
Habari Wana jukwaa, Kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada jinsi ya kudownload vitabu kwa kutumia PDF drive, maana Kila nikijaribu nashindwa Kama kufungua akaunti nimefungua na kufuata process...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu bila shaka huu siyo msamiati mpya ila kama mjuavyo inawezekana jambo unalisikia miaka mingi tu na kulielewa juujuu tu ila ukitakiwa kulieleza kitaalamu ukakwama. Nimepita ukurasa fulani...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii simu nimeielewa ile mbaya ila siijui kiundani naombeni msaada wenu mnaozitumia hizi au mliowahi kutumia. Please, toa kasoro kwa kuonesha experience uliyonayo siyo ya kusikia au kuhisi.(uwe...
4 Reactions
5 Replies
831 Views
eBay imekubali kulipa $59m (£46.3m) kutokana na madai kuwa iliuza vifaa vinavyoweza kutengeneza dawa za kulevya. Idara ya sheria ya Marekani ilikuwa imedai kuwa maelfu ya mashine za kutengenezea...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Dell inspiron 15 1564 Ni ya muda kidg, Mkanda, na imepasuka kidg kwenye kioo nje Nahitaj kujua makadirio ya matengenezo na upatikanaji wa spareparts maana ni pc ya kama miaka 10 nyuma hvi.. Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
417 Views
Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni...
10 Reactions
31 Replies
4K Views
Kila siku, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) inavyoendelea kukua, ndivyo inavyoleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku. Watanzania pia wanafaidika na maendeleo haya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Meta, Mark Zuckerberg ameomba msamaha kwa familia zinazosema watoto wao walidhuriwa na mitandao ya kijamii, wakati wa kikao kilichowaka moto katika Bunge la Seneti la...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar , Kuna ndugu yangu anasoma Mechanical Engineering so ameniambia wanahitajika kuwa na laptop kulingana na course yao husika Hivyo basi nimekuja kwenu kuuliza Ni laptop aina ipi na yenye...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Simu yangu (Infinix Smart 6) inakumbwa na tatizo la ku-stuck mara kwa mara. Nifanyeje kuondoa tatizo hili??
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…