Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

I need help on how I can encrypt my phone to protect all information i usually exchange.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu makaka na Madada, Anayejua free android app ya kuweza kuedit background anisaidie jamani !
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wana JF Poleni na majukumu Naomba msada wenu cku hadi cku nimekua nikidownlod android sdk card kwenye pc ila imeshindikana jitihada zangu Hazijazaa matunda Naomba msada wenu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa muda nimekuwa nikitumia windows phone, hasa Nokia Lumia, hii simu kwenye OS ilikuwa Ni shida Sana hasa kwenye internet sharing since Lumia amber mpaka Lumia Black, hizo zilikuwa na lot of...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
kwa mimi nisiye kuwa na uelewa wa maswala ya tuvuti , nilipata ujumbe kwenye hiyo picture sasa ckuelewa
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu wadau! Wajameni naombeni niulize kuhusu hizi simu labda kwa alie nunua au aliekwisha zitumia vipi kuhusu uwezo wake kiinternet ukoje mana nataka kununua moja kwa matumizi yangu ya...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimeibiwa Samsung GALAXY Note 10.1, nilikuwa sijafanya kitu chochote je inawezekana kuwa retrieved ? na series IMEI Ninavyo Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Habari zenu wanajamvi ! Nina desktop IBM model 830781U nina tumia windows xp sp3. Cd/dvd drive haionekani kwenye my computer kila nikiweka cd haiplay. Mwanzo ilikua inafanya kazi vizuri baadae...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Jamani mwenye ujuzi kidogo na simu, galaxy s4 imeji blok, mtoto kachezea pattern nkiiwasha inaniambia nweke email na passwod na mimi pass word sikumbuki jamani. Naomba kama kuna mtu anakumbuka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, Kama hardline ilivyojieleza, kama kuna mtu anajue app yoyote ya kuweza kuhifadhi. Mfano picha, video & miziki ili niweze kuformat memory card yangu please nisaidie maake...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jaman habari zenu? Nilikuwa naomba kama kuna yoyote anyeajua ni software gani zinahtajika kuunlok na kuflash device mbalmbal km simu modem nk.anambie nina diploma ya it nataka nijikite kwenye hii...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Nimeambia Torrent lakini nimeshindwa msaada plz ! Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Geeks, nimenunua simu tajwa hapo Tigo, ila lugha yake nahisi itakuwa either Polish or Swedish. Sasa naomba mnielekeze how to reset it into English. From the"Setting" icon to the end. please?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
:llama:Msaada jinsi ya ku unlock simu za vodafone 875
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hellow JF!! Modem za tigo zile za mwanzo mwanzo zinachakachulika kwa urahisi sana, So unaponunua modem ni bora ujue unanunua ipi ya zamani au ya sasa!!! ok tuanzee tuache longo longo Tatizo...
1 Reactions
36 Replies
18K Views
Naomba msaada jins ya kuapata screen shoot kwenye cm angu huawei y 330 ascending plz na je ina uwezo wa kuwa na hiyo kitu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi there, Nime design website for my client na ku develop into XHTML/HTML, mimi nimeshazoea kufanya kazi za website kwa kutumia drupal CMS, joomla, wordpress, moodle and most of open source CMS...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Kwema ndugu? Kuna hii concept ya iCloud Lock. Nini maana yake na simu yenye hali hii huwa vipi? Na je hii huwa na tofauti gani na carrier Lock? Nauliza swali hili na pia naomba msaada wa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Mtu mwenye file la ramani ya Tanzania ama ya Afrika Mashariki kwa ajili ya Garmin Navi GPS anisaidie
-1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nimepata tatizo kila nikiweka modem za Kampuni yoyote (TIGO, VODA na AIRTEL) kwenye laptop yangu inanipa ujumbe kuwa "the device driver software was not successfully installed"...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…