Jinsi ya ku- unlock modem mpya za TIGO- (zilizoshindikana) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya ku- unlock modem mpya za TIGO- (zilizoshindikana)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SHAROBALO, Jun 6, 2011.

 1. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hellow JF!!

  Modem za tigo zile za mwanzo mwanzo zinachakachulika kwa urahisi sana, So unaponunua modem ni bora ujue unanunua ipi ya zamani au ya sasa!!! ok tuanzee tuache longo longo

  Tatizo:: modem mpya zote ni kwamba zipo updated firmware yaani tigo wame customized firmware (WAMEJARIBU KUZUIA MAHARAMIA) mfano Huawei modem E153 with firmware "11.609.18.01.135"

  Kwa bahati mbaya hadi sasa bado hakuna anayeweza kuchakachua hizi modem kwa 100% ila usiogope!!!!!

  SOLUTION: Jinsi ya kuichakachua hii ni rahisi,ila kumbuka kuwa hautaichakachuia kwa asilimia 100% ila utaweza kutumia line yoyote kwenye modem, na kila unapotaka kutumia line nyingine inabidi urudie kufata hizi step..

  so hii ni temporarly solution...

  what to do?!

  1) Upgrade your modem firmware http://tattoo.globe.com.ph/downloads/E153.zip This upgrade will enable you fix some bugs and enable your modem to have call feature. You should do this process so that you can continue to the next process

  2) Insert any SIM that is not supported by your modem. If you are a Globe Subscriber (default subscriber) insert non Globe SIM. It will give a prompt "Action not Allowed", press Ok and the dashboard closes automatically.


  Step3: Identify your IMEI and port connection. It can be found printed on the back portion of your modem or on your dashboard menu, Click - Tools >Diagnostics and Device

  [​IMG]
  4:) Download Sola Calc by bojs. Huawei Unlocker.exe
  5): Open the downloaded file and select the COMP port, chose E153, enter the 14 digit IMEI number then press calculate. This will give you the NCK Code and Flash code.
  [​IMG]
  6) : After Calculating, click the unlock button on the left and click service. This will give you a message that the modem is temporarily unlocked.Note : This is only temporary and will be relocked again when you unplug it.


  7): Open your dashboard and the SIM is now working in your modem. If there are errors just repeat the steps (Make sure firmware is upgraded).


  NGOJA NIKUELEKEZE JINSI YA KUUPGRADE FIRMWARE VIZURI ZAIDI!!!

  1)Download Firmware needed to upgrade your modem. Here
  We are going to replace the current firmware of our modem to its latest version. This will fix some bugs on your modem and also to activate its call feature. In my modem I have used Firmware provided by Globe Telecom. For Globe - Download the Firmware Here
  Note: Flashing the firmware means permanent firmware update and can only be reversed by flashing using another firmware of different network provided.

  2)Here using the Sola Calc. Take note I'm talking about Flash code not the unlocking code. You will use this in the flashing process

  3)Insert your USB modem in your USB port. I suggest use the high speed USB 2.0 port. Make sure there is no SIM card inserted

  4)Close any program running. Open programs may interrupt the flashing process and might cause permanent damage on your modem.

  5)Go the location of the downloaded files and double click it. Click the "I accept the agreement" button then Next.
  The program will now search your firmware version. Wait and just follow the instructions.

  6)During the flashing process it will ask code - input the eight number flashing code you've obtain. Wait for the upgrading process to finish. Never attempt to discontinue during the upgrading process. It will take around 10 mins.

  7)After a successful upgrade uninstall the current dashboard and install the new one by accessing my computer. After installing, open your dashboard and start using your call feature in your modem

  I hope this will help you guys!!!

  Cheers   
 2. aabb

  aabb Senior Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu,nimejaribu kuflash e153u-1 kwa kufuata steps zote ikamaliza vizuri,lakini sijapata hiyo call feature,na nikiweka sim inasema insert specified sim,sijaelewa hizo sim ni zipi au kuna kosa lilifanyika? nikitaka kurudisha mwanzo nitumie nini?
   
 3. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  mkuu...hiyo call feature...naifanyia kazi nitakuja na majibu kamili...
   
 4. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  HIYO E153U-1 HAITAJI KAZI NZITO KIIVYO! SUCH tigo moderm inachakachulika hapa jamvini au hata google then fuata maelezo yaliyotolewa and you are done ni kama kumfinya mchawi vile
  ukishindwa NI PM NTAKUWEKEA ATTACHMENT
  JF IS EVERYTHING
   
 5. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nahisi kama nimeua modem yangu vile, NIMETAKA KUUPDATE FIRMWARE, THEN NIKADOWNLOAD HIYO FIRMWARE UPDATE SOFTWATE, NIKAFUATA PROCEDURE ZOTE, LAKINI ILIPOFIKA KATI KATI, NIKAPATA MESSAGE, AN ERROR HAS BEEN DETECTED, THEN IKALETA OPTION SEND ERROR NA DONT SEND, MI NIKA CKICK DONT SEND, IKAKATA.

  KUANZIA SAA HIYO INAGOMA KUUPDATE, NIKIJARIBU TENA INASEARCH DEVICE HALAFU INASEMA "THE DATA CARD CANT BE FOUND ERROR CODE 03 " NIKIJARIBU PORT NYINGINE INASEMA SERVICE FORBBIDEN CAN NOT WRITE ON C.

  NIKIJARIBU KUWEKA LINE HAISOMI, INAFUNGUA TU SOFTWARE YA TIGO, LAKINI NO NETWORK NO NINI. NISAIDIENI JAMANI NIFANYEJE?
   
 6. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  una uhakika mkuuu? anazungumzia modem mpya za tigo ambazo zimekuwa customized firmware. sio hizi za toleo la mwanzo tulizo kuwa tunazitesa kwa kuweka code na kuondoka. tigo wametushtukia
   
 7. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nenda kwenye computer yenye intenet connection. fungua website ya dc unlocker. angalia katika list ya modem kibao utaziona e153 zipo tatu. jaribu bahati yako huko. wao wanafanya kila kitu. weye unasubiri kibos bos tu
   
 8. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  kwenye list ya dc unlocker hii model haipowanasema bado hawajapata ufumbuzi
   
 9. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  hapana mkuu huwezi uwa kirahisi ...restart PC na uanze upya procedures
   
 10. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haujaangalia kwa makini. ingia hapa na angalia vizuri review. imo katika list ya supported models. na picha pia nakuwekea. ushahidi kamili.

  link: http://www.dc-unlocker.com/supported_models_1/huawei_1
  dc unlocker.jpg
   
 11. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwenye DC unlocker model ye E153 imeelezwa kama ni supported model na huduma zake ni hizi hapa kwenye picha:

  E153.jpg View attachment 31745
   
 12. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimejaribu kila hali imenishinda, inaonesha imefutika yote, kwani hata nikiisoma kwa qpst haikubali, inasoma ila mwisho ukitaka kuingia ndani inaonesha patupu.
   
 13. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu, samahani sijakuelewa nifafanulie kidogo. Halafu labda nirudi kwenye lengo, nilitaka kuupdate firmware ili niwe napiga simu, je itawezekana kweli kwenye huawei e 153u-1?
   
 14. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  brother ilikuwa hulazimiki ku update firmware. mie mwenyewe natumia hiyo hiyo. na napiga simu wala sija update wala kuflash firmware. ila ilibidi u download software inatwa huawei mobile connect . hii inamaliza kila kitu. na ni free. utaipata kwenye dc unlocker kwenye sehemu ya dash board. ukiikosa ni pm nikipe direct link.
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu mbona nikifungua dc unlocker inaniuliza ni log in,sasa ku register ni sehem gani mkuu naombamsaada wako mkuu..
   
 16. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mkuu Yussuf...sijajari kutumia mobile connect....ila kama itakubali then thanks. kwenye DC hawajaelezea kama ni custumerized firmware o not. thanks
   
 17. T

  T.K JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimedowanload hii firmware iliniweze kupiga cm, baada ya kuupdate kila line nitakayoweka inagoma inaniambia not supported na dashboard imerudi ile ile ya tigo, na mbaya zain hakuna call feature na inakataa line zote (ikiwemo ya Tigo)
   
 18. m

  mbojeinc Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 19. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wakuu naomba niombe ushauri kidogo, kwa tanzania hii ni modem gani (shirika lake na model yake) nitakayoweza kubadili laini zote za CDMA kwa mfano zantel , ttcl na sasatel.?
  hizi za HSDPA tayari ninayo ya tigo E153 ambayo inakubali laini za airtel, vodacom na tigo yenyewe.
  pia naomba kujua kwa sasa bei za modem za CDMA zinazotumia line ni bei gani pamoja na company husika.?
   
 20. Platnam

  Platnam JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wakuu mimi natumia dashbd ya globe broad band,ina hiyo call feuture..google globe broad band utaipata.
   
Loading...