Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

jinsi ya ku end calls kwa kutumia power button
0 Reactions
6 Replies
923 Views
Naombeni msaada wa taaarifa kwa anaejua garama ya KIOO cha Samsung s4 na pia naweza kukipata wapi kwa Dar. Tafadhari wadau
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Nimepata iPad aina ya apple kutoka kwa MTU,kuna program nyingi muhimu nikizidownload inaniomba ni update ios7,he nitaipataje hii window?naomba mnisaidie.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni msaada jinsi ya kuhamisha contacts kutoka account ya gmail kwenda kwenye iphone. C6 chief-mkwawa privacy Jestkila CYBERTEQ Brakelyn
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Wanajamii naombeni kuuliza maana naona sasa kidogo imenichanganya, maana naambiwa receiver hii SRT 4922 ndo bora na wangine wameniambia kuwa hii Q23g ndo bora zaidi katika kureceive fta So...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau! ningependwa kujuzwa juu ya bei ya note edge..dukani inauzwa shilingi ngapi??
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Leo nimeanza kutumia app ya tigopesa kwenye simu ya android Note 3 App iko poa sana ukizingatia ni toleo la kwanza. The app is faster, accurate and above all much more convenient to use...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
If there's one thing I've learned about Apple's dealings with SIM cards in the past seven years, it's that Apple gets what Apple wants. The little gold-plated circuits - which identify you as a...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Unlock Iphone Free 4 - 5s works as standalone application from your desktop. Who uses a cheap copy? When the original does the same thing for same price ! For risks and side effects ask your...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
wataalam tusaidieni step by step za kutumia laptop kujipatia wireless internet kutoka kwenye simu ya mkononi bila kutumia moderm au usb cable. mi simu yangu ni itel version 2.3.5 na laptop ni acer...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana forum habari zenu,ninaomba msaada namna ya ku download game ya CALL OF DUTY WARFARE 4 na 5
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumezoea kuona makampuni ya simu makubwa kwa madogo yakileta simu mpya especially flagships na kuongeza tu ukubwa wa kioo, ram, memory, na kuigana mara wireless charging, water resistant, etc...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kati ya mambo yalikuwa yananiboa kwenye hizi keyboard za simu ilikuwa ni auto word corection na word prediction. Maana kimsingi me natumia sana kiswahili kuliko lugha ingine, so ilikuwa inaniletea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu.Poleni na mihangaiko ya maisha. We all know this forum has some talented people.Nimeanzisha hii thread, so that you guys can share and tell the rest of the community what you...
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Nna huawei y-530 nimeweka 8gb card lakin cha ajabu nkiingiza vtu ikafika ujazo wa 20mb havisomi kama ni picha ukiingza inaandka "cant load this file" nkiweka nyimbo inaandka "this file doesnt...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cloud and Dedicated servers that are backed with Enterprise grade SSDs (Solid State Drive) enabled by Redundant Array of Independent NAND (RAIN) show a very noticeable improvement over their other...
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Wakuu nina kama miezi sita sasa tangu nilivyoanza fanya manunuzi kupitia mtandao. lakini kuna kitu kimoja bado kina nichanganya nimeagiza mizigo midogomidogo (wallet, charger etc) mingi tu na kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wa slideshow maker ambayo ni free. Ahsanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajnvi wenzangu, Nilinunua bb9900 kwa mtu Dar, sasa dogo nilie mwagiza anichukulie huwaga anajifanya mjuaji sana, baada ya kuichukua akai factor reset, haikuwaka tena, ikawa ukiwasha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Guys, am preparing excel spreadsheet with more texts than numbers. Tatizo ni kwamba, hizi texts zipo in multiple paragraphs ambazo zimekuwa prepared kwenye word processor. Problem ni kwamba...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…