YotaPhone ndio smartphone tunayoweza sema imeleta Innovation

YotaPhone ndio smartphone tunayoweza sema imeleta Innovation

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,723
Reaction score
104,910
Tumezoea kuona makampuni ya simu makubwa kwa madogo yakileta simu mpya especially flagships na kuongeza tu ukubwa wa kioo, ram, memory, na kuigana mara wireless charging, water resistant, etc. Mwaka huu Samsung akaja na Galaxy Note EDGE yenye curved display. Hii ndio kitu different toka Samsung, pongezi ana staili.

LG G flex hapo mwanzo nae kaja na simu iliyo curve na ina self healing, kwa mlioicheki nadhani mtakubali kwamba dude was monster, ingawa haiku perform vizuri sokoni wengi wakilalamika 6" display ilikua too much.

Sasa bwana hawa jamaa, wamekuja na simu yao yenye vioo mbele na nyuma. Yaani double screen.

Hii sifa ndio inaifanya iwe simu ya kwanza kua na screen mbili. Hakuna kampuni iliyowahi kutengeneza hii kitu.

Kioo cha mbele ni 4.3-inch, 1280x720 LCD na cha nyuma ni 4.3-inch, 640x480 resolution electronic paper display. Unaweza sema kwamba itakua inakula sana charge, ila kioo cha electronic paper ni very efficient kwenye issue ya battery na hiki kioo kitakua hakizimi, yaani kitakua ON muda wooote.

Sifa nyingine za hii simu ni Qualcomm Snapdragon 400 MSM8960T yenye dual-core 1.7GHz Krait 300 CPU and Adreno 320 GPU, 2GB RAM, 32GB storage space, 13 megapixel rear camera, 1 megapixel front camera, 4G connectivity, 1,800mAh battery and Android 4.2.2 Jelly Bean.

Inazinduliwa leo India kwa bei ya USD 382.

picha: http://cdn.gsmarena.com/vv/newsimg/14/10/yotaphone-india/gsmarena_001.jpg
 
Is it necessary kuweka display 2? And why wakati mtu unatumia moja?
 
Hata mimi nadhani ni moja ugunduzi mzuri ila unnecessary. Sidhani hata galaxy note edge ile screen yake ya pembeni kama itatumika sana. Kuna vitu vinagunduliwa siku hizi lakini kiukweli matumizi yake ni madogo sana au karibia na sifuri. Na kama hiyo screen ya pili inabana matumizi ya battery, then tutegemee kuwa haitaweza kuwa na efficiency (colours, graphics, au vibrance) kama hiyo nyingine. Thanks for the info mtoa mada
 
Is it necessary kuweka display 2? And why wakati mtu unatumia moja?

kioo cha pili hakitumii chaji incase simu imeisha charge unaacha static page kwenye kioo cha pili imagine situation hizi.

1. unazunguka mji usioujua kwa ramani ya simu then ghafla simu inakupigia kengele battery low ukiwa na simu hii unahamisha ramani kwenye kioo hicho kisicho na rangi ambacho hakili chaji
- same unaweza weka notes na mambo mengi
 
Is it necessary kuweka display 2? And why wakati mtu unatumia moja?

Mkuu, kwenye issue za technology, huwezi jua umuhimu wa kitu hadi ukijaribu. unaweza sema screen mbili ni ---- ila ukijaribu unaweza ona ni useful sana.

am sure hii screen ya pili (back screen) ita serve sana sana kwa notifications (push notifications) kama saa, battery capacity, kujibu meseji popups, receiving calls na ata kupiga if possible, inshort zile tasks ndogo ndogo. halafu main screen matumizi ya kawaida, masema hivi tokana na resolution difference between hizo screens.

mkuu, curved display ya Note EDGE imewavutia wrngi sana tofauti na unavyodhania, LG flex nayo?

mara chache sana mtu kudumbukiza simu aliyonunua laki 5 kwenye maji, yaani ni very rare case, ila bado kuna simu za water resistant.

trust me hii feature sio useless, lazima itakua na umuhimu sana.
 
Bado kutuletea simu za desktop tu, CPU unaiweka mfukoni display unatembea nayo
 
Basi nipo nyuma sana

sikulaumu sababu sio maarufu sana. kioo kidogo utafanya nini na windows?

6a00d83451c9ec69e201348907b339970c-800wi.jpg
 
mkuu,sidhan,labda km unasema ubuntu for android,i stand to learn

unamaanisha ubuntu edge au? idea hio imeshafanywa kwenye windows ubuntu sio wa kwanza. hio simu nilioeka hapo juu inarun full windows xp inaitwa xpPhone.

Screen-shot-2009-12-28-at-December-28-11.44.26-AM.png

picha nyengine hii unaweza kuigoogle.

ina option hadi 1gb ram na hdd ya 120gb ambavyo kwa xp vinakupa premium perfomance kabisa lakini tatizo ni kwamba os haipo optimized kurun kwenye kakioo kadogo kama hako
 
Back
Top Bottom