Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ndg WanaJF Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, blog yangu ina views wachache sana kwa siku takribani 100 nifanye nini ili kufikia 5000 views per day?? Natanguliza shukurani
0 Reactions
26 Replies
4K Views
habari zenun wadau naomba msaada wa software ambayo itaniwezesha kudownload movies ,games fast
0 Reactions
8 Replies
3K Views
HP Laserjet Cartirage 85A ya printer yangu imeisha wino nikiprint baadhi ya maandishi yanakuwa hayaonekani vizuri,kwa wenye kufahamu namna ya kurefill naomba msaada na kama kuna madhara ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu Mdogo wangu jana ametapeliwa simu yake aina ya HUAWEI.... Kuna namna yoyote tunaweza kufanya ili aipate simu yake? Anayejua anisaidie tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Website ya UCC imekuwa hacked,wasimamizi vp?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, Ni hivi nina laptop aina ya Lenovo siku ya jana ilianza tabia zisizo faa. kila nikiiwasha display inakuwa nyeupe harafu baada ya muda inatokea rangi ya puple iliyochanganyika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau naomba mnisaidie jinsi ya kuscreen shot kwenye simu ya samsung galaxy gland mimi sina utaalamu sana na hizi simu za android.
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Wanajamvi salam! Nimenunua tecno h6 ambayo imatumia dual simcard lakini nimeshindwa kuweka hizo line maana hata sehemu ya kuweka laini inaingia nusu laini moja! Wapendwa naomba msaada jinsi ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Msaada wapendwa dish langu limefutika channel zote
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii itakuwa rahisi sana mtu wangu, hivi mara ngapi umeshawahi kwenda sehemu ukakutana na maandishi ambayo umeshindwa kuyaelewa?Teknolojia imekuwa msaada kwenye mengi mtu wangu, pata picha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau nina smartphone ya VODACOM VF685 Huwa hai support baadhi ya Apps kwenye Google Play nini Tatizo??......Msaada wenu tafadhali!!:confused:
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisikia hii tekinolojia kwenye vyombo vya habari, naomba mwenye kujua anipe elimu, je inafanyaje kazi na je kitu gani hiki na malengo yake ni yepi, nawasilisha.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu wale wadau wa Device za Apple tupeane maujanja ya tweak na apps kwa device ambazo zimekua jailbroken So far hizi ndio tweaks zangu, kama unajua ipo kali tupia twende sawa
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu nina cm ya lg optmus f200k (vu2) nikijalibu kutumia vodacom ussd kama za kuulizia salio au mpesa inakataa inaonesha connection problem or invalidmmi. Msaada tafadhar
0 Reactions
0 Replies
763 Views
BGR This is the Samsung Galaxy S6 Unpacked EXCLUSIVE galaxy s6 concepy By Jonathan S. Geller Wednesday January 21, 2015, 11:35 AM Samsung’s Galaxy S5 was a monster flagship, except we’ve been...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hichi kitu kinanitatizaga sana ninapofungua page ya web flani zen unachagua kitu kwa Kukiclic inakudirect kwenye page nyingine ambayo ukudhamiria. Tatizo hili nimeliona sana kwenye PC but nlikuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tafadhari wakuu naomba msaada wa jinsi ya kufanya pc yangu haina office window kama excel ms-word sasa nashindwa kufanya kazi Mungu awabariki.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Nimevunja sightmirrow / sidemirrow asubuhi ya leo, gari noah town nilitaka kujua bei yake nishilingi ngapi? nipo morogoro.asubuhi njema
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina mpango wa kunua King'amuzi cha Startimes kinachotumia dish. Hivyo naomba kwa yeyote ambaye ameshanunua na anakitumia anijulishe kuhusu ubora wake. Je, hakisumbui kama vile vingine...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Natumia TECNO 635 nikiweka laini ya TIGO Inagoma kufungua OPERAMINI,,Lakin lain ya voda inafungua kama kawaida..kwa wale wazoefu naomba mnisaidie,,maana kwenye TIGO Nimejiunga bundle la mwaka..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…