Tatizo la Dish kupoteza channell naomba msaada

Tatizo la Dish kupoteza channell naomba msaada

natumia receiver ya medicom. juz nilifanya factory reset channels. so zikafutika zote .. nimeshindwa kusearch upya kuzirudisha. msaada tafadhari
 
Tatizo hili pia linawakumba watu wengi sana,,, receiver kupoteza channels mara kwa mara,, mwenye maujanja atupe please!!
 
unajua kwanza jinsi ya kusearch chanel? so unataka frequency za kusearch ili kurudisha chamel siyo?
 
Back
Top Bottom