Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wanajf, nauliza kama kuna computer programmer yoyote humu, ili tuweze kuzungumza mawili matatu? mimi sio computer programmer bali bado nipo katika hatua za awali kabisa kufikia hilo, kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuta ghafla tu google ads hazi-display kwenye site yangu msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Habari gani wana JF... Nina tatizo katika simu yangu,ni hivi hii simu imetoka singapole sizani kama bongo zipo inaitwa phicomm i813. Napokua naitumia kwa muda mrefu inakua yamoto sana then...
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Tigo kuna mambo wananikera lakini kwa hili tangu nilijue wamenikuna kwa kweli ngoja niwapeni Mimi nimeweka sh.1000/= na nikajiunga kile kifurushi cha GB 30 naanza kuzitumia sa tano usiku hadi...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
jinsi ya kuweka easy finder kwenye tecno m3
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Naombeni mniambie bei ya Samsung S6
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamani naomba kama kuna mtu yeyote ambae ana zijua BISS key za feeds(Hustler HD, Bein sport1, Bein sport2, equidia live TV, M6HD) kwenye Eutelsat@7e. naomba saada tafadhali.
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Wadau, kuna izi game za android za glu, binafsi nacheza deer hunter na frontline commando d day, nilichek kwa net kupata unlimited money unadownload tu izi game kwa format ya apk, nimefanya ivo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalam play store inagoma kufunguka nikifungua connection time out wakati net iko vizuri. Naomba msaada nifanyeje?
0 Reactions
38 Replies
11K Views
WanaJF, Mimi nimeolewa naishi na mme wangu. Sasa kuna kaka ambae alikua rafki yangu kabla sijaolewa, sasa uyo kaka alini add kwenye google+ yake, kama mnavojua nikiwa naangalia google image...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Samahanini je naweza kujiunga whatsap namba kwenye simu mbili tofauti....mfano nina number 0000012334 nataka itumike hiyo hiyo kwenye huawei na hiyo hiyo kwenye samsung....je itawezekana....
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Do You Use Digital Technology Wisely? Jenni is hooked on a video game. “I’m playing it for eight hours a day now,” she says, “and it’s become a real problem.” Dennis tried to go seven days...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa anayejua if jamii forum wana app yao kwa windows mobile
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Wakuu, Tafadhalini sana, naomba kwa yeyote ambaye ana software ya Ms Word 2010, au 2013 ambayo iko full ili niweze kuinstall kwenye computer yangu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Naombeni msaada nina simu yangu huawei y530 kuanzia leo imeanza kunisumbua mara inajiwasha na kuzima yenye mara inabadili rangi ya display na kuwa nyeusi na kuna ujumbe unasomeka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naomba kuelimishwa bomu linapolipuka nini haswa kinachoua watu je ni moto ni moshi ni mstuko ni mrusho au ni nini maana sielewi. Nipeni elimu ili nijue na ikitokea nijue najikinga vp
1 Reactions
72 Replies
16K Views
Poleni wanajamvi, msaada kidogo kuna simu inaitwa maxon it is something new in the market, zipo models kama mbili hivi, ya kwanza ina RAM 2GB 32GB HDD na ya pili ina 1GB RAM 16GB HDD,plz kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear..Great thinker wa jukwaa hili heshima,kwenu..Naomba msaada wa ni software gani nina weza kutumia kwenye computer, nikaweza kusearch tatizo lilipo kwenye electronic circuit bila kutumia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wote wenye shida na template ambayo rafiki kwa matangazo ya adsense,wanicheki 0687535650
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Habari wadau, nimenunua lumia 532 made in vietnam, lakini inanizingua kuunganisha internet, naomba msaada kwa anayejua setting za kuunganisha internet. Nawasilisha.
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…