bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
Wadau, kuna izi game za android za glu, binafsi nacheza deer hunter na frontline commando d day, nilichek kwa net kupata unlimited money unadownload tu izi game kwa format ya apk, nimefanya ivo nimeinstall kwa deer hunter inafanya ok napata unlimited money kununua all weapons na chochote kinachoitaj kununuliwa ambacho otherwise nilitakiwa nifanye in app purchase ila front line commando haikubali ingawa nimeinstall ii apk file nikifungua kucheza bado inakataa kununua guns inadai nifanye in app purchase kuna yoyote amefanikiwa msaada?????