Habarini wadau,
Natumia simu ya kawaida ya Samsung Gallaxy Trend S7580,system yake ni ya android. Kuna mtu ananisumbua sana na nimeadd number yake as a Spam number ila bado akituma msg...
nahitaji Cranked link ya ku install either Ogwhatsapp,WhatFapp,Gbwhatsapp link ninazopata tayar hzi version ziko expired nahitaji latest one ambayo itakuwa valid...Thanks
Niaje wakuu..nimeona nije na hii topic ila ni mawazo yangu kama una lakuongeza karibu au nimekosea mahali tuambiane..
Kwa kawaida kibongo bongo bloggers wengi tunategemea sana matangazo ya google...
Habari wana jf wenzangu! Naombeni msaada ninatumia cm aina ya lg lakini nashangaa tangia Jana nikizima data inajiwasha yenyewe pamoja na Wi-Fi zinawaka kwa pamoja alafu Mara kuna matangazo ya apps...
Mimi nilidownload game LA mission impossible salsa nilidownload apk INA mob 11 name nikadowload data zile zip sehemu nyingine salsa nataka kuzichanganya natumia Samsung note 3
Habari za muda huu wana JF,
kuna jmaa yangu flani anafanya biashara za vifaa vya electronics vilivyotumika maarufu kama used, juzi nilipita nikakuta kaingiza mzigo mpya katika kuchagua nikakutana...
nafikiria kutengeneza kifaa kitakachoweza kuzima gari remotely kwa ajili ya ulinzi ila project yangu nahisi nitafanikiwa kwani mimi ni fundi mzuri wa umeme wa magari, vitu nitakavyotumia ni kama...
With the huge supermoon lunar eclipse just one week away, it's time to dust off your small telescopes and binoculars, track down an observatory event or webcast, or draft your invitations for a...
Tech Support
Salaries of mid-career level IT staff around the world.
2015 Salary $2014 Salary $
This study does not take into account purchasing power parity...
Wakuu za mida. Back to point nataka kununua external speakers za laptop yangu aina ya Hp nienjoy mziki na movies Nikiwa bedroom kwangu.
So aina gani ni poa na bei yake ni sh ngapi. Quality &...
Wanajamvi, Ni matumaini yangu kwamba katika jukwaa la JF Kuna wataalam mbalimbali WA Ujenzi. ...watupe mbinu jinsi ya kujenga Nyumba na kuwa na emergence exit, lakini swala Zima la security. Hapa...