Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habar wanajf napenda kusikia maoni kutoka kwenu. Natumia huawei 330 IPO rooted baada ya mda mrefu naitumia katika ubora wake ila likatokea tatizo LA kupotea kwa phone icons na contact katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada ni apps gani naweza kutumia kwenye android smart phone kudownload miziki
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The best gadget gadget unatikiwa kuwa nacho; You can talk free ukiwa kwenye gari lako bila usumbufu wa kuweka masikioni the sound utaisikia kwenye system ya gari lako. Just plug it in your...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
.
0 Reactions
1 Replies
721 Views
Nina TECNO H5 ukidownload APPS kutoka google playstore inakuwa inaonyesha kwamba app has been stoped na huwez kufungua hyo app tena. Nimejarib hata AMAZON APPSTORE inakataa kufungua. Msaada tafadhali!
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Camera imeharibika ina rangi ya pink,housing imechakaa,mtu akinipigia namsikia ila yeye anisikii had niweke loudspeaker ndiyo ananisikia. Pia,nikirikodi sauti inasikika chenga. Kubadilisha vyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Is it better to learn html, javascript, php, then mysql if you want to start your site? Is it better to learn it in that order or not or any advice for beginner please ?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kuna mtu ananiuzia dell inspirion 5421 touch screen kwa laki mbili na themanini ni used lakini sio sana je nichukie au manake na wasi wasi labda itanisumbua
0 Reactions
0 Replies
784 Views
computer yangu sony vaio core i3, ram 3gb,hdd 320 e series vpceb44en inapata heat sana mpaka naogopa naombeni kujua tatizo itakua nn maana feni linafanya kazi ila naona kama halisaidii kitu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa mwenye hizo APN za voda wakuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu magwiji wa Technolojia! Bila kupoteza wakati naomba kujuzwa uwezekano wa kutengenezwa kwa Mobile Application yenye uwezo wa ku broadcast live audio visual event na anayeweza kufana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
simu yangu imekuwa na desturi ya kuinstall application yenyewe,hata ni kiziunstall baada ya muda zinajiistall tena.application zenyewe ni kama hizi T share,battery doctor,cool browser na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ohy wadau simu yangu ina apps nying ambazo ni useless kila nikiunistall zinaonekana tena i need your help
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari Jf, Naomba kujua namna ya kuinstall Instagram na Whatsapp kwenye laptop. Natunguliza shukrani.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa hili jambo nina tablet inatumia 3Gdoungle sasa naomba msaada wa maarifa jinsi ya kutumia tablet yangu maana haisomi kadi ya simu ya voda wala tigo na internet hamna mpaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nimepewa tablet imetoka china lakini sasa inatumia 3G doungle nikiweka line haisomi sipigi simu wala kupata internet naomba msaada wa namna ya kuifanyia setting wadau ili niwe...
1 Reactions
0 Replies
794 Views
Deleted
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar wadau! nina toyota hiace super custom, manual ina 3Y carburator engine. inakula sana mafuta 6km/l. nafikiria kufunga injini ya 3y-fe au 3s ambazo ni fuel injected. ushauri please!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini, WanaJF, Kuna jambo linaniumiza kichwa. Ningependa kuuliza hivi kuna milango ya vioo ambayo wezi hawawezi kuivunja. Kama ipo hapa Dar, naweza kuipata wapi? Karibuni wadau mnisaidie..
0 Reactions
26 Replies
6K Views
...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…