Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimejaribu baadhi lakini hazitafsiri audio(mp3) kutoka kiingereza kwenda lugha nyingine kwa ufasaha. Kwa anayejua app au online platform kwa ajili ya kufasiri audio file kutoka lugha moja kuwa...
2 Reactions
6 Replies
688 Views
Roku TV, Android TV, Smart TV, AI TV, Google TV, Mini LED TV, QLED TV, na kadhalika ni baadhi ya maneno ya masoko yanayotumiwa na wazalishaji wa TV hivi sasa. Kusema ukweli, ni ngumu kutofautisha...
5 Reactions
16 Replies
7K Views
Habari wataalam. Nimebadili simu ya awali nikampa dogo. Cha kushangaza majina yote yangu kwenye simu hii yangu Hayao isipokuwa yale ya dogo yaliyopo kwenye simu yake niliyomwachi ndo na kwenye...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Techno spark 20 ime dukuliwa? Kila nikipiga simu au kupokea inaonyesha kidoti Cha kijani mbele ya betri halafu Ina rekodi. pia Niki fungua kamera inaonyesha kidoti Cha kijani mbele ya betri...
0 Reactions
8 Replies
660 Views
Nimeibiwa simu naomba wataalam wanisaidie kuipata zawadi nono itatolewa Jina la simu Tecno ca6 camon cm Imei number ninazo. kwani nilienda police lakin sikupata ushirikiano wowote RB ya police...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Karibu katika safari ya kujifunza kutengeneza android app yaani App za simu za Android, Kujifunza Taaluma hii kuna umuhimu wa mtu kuwa na uelewa wa nini anaenda kufanya na kwa nini. Elimu hii ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nafikiria namna Nduli Iddi Amin alivyosumbua hadi ikalazimu kutumwa Jeshi nchini mwake likamshughulikie huku Watu Wengi wakipoteza maisha Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na...
14 Reactions
35 Replies
1K Views
MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Mjadala wa kesho nataka nisikose
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Habari zenu ndugu, Naomba msaada kwa anaefaham, nilikuwa mwaka Jana nikiomba ajira za ualim sikubahatika . Sasa ajira hizi zilizotagazwa nimejarib kuomba ila wanahitaji account ile ile Sasa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
8 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari za JP wana JF. Naomba kupewa muongozo wa simu na Laptop aina gani naweza pata Kwa budget ya 1.5 M Kwa vyote viwili. Ahsante na karibu Kwa ushauri.
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free internet toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
Simu yangu aina ya realme GT master explorer imechora green line..sasa nilichek mtandaoni nikaona wanasema ni restore lkn nimefanya ivyo lkn tatzo liko pale pale, msaada wadau wenye ujuzi na hii issue
2 Reactions
4 Replies
489 Views
  • Question Question
Habari za kushinda wakuu, Nina option mbili Kati ya Galqxy a14 64gb new au Google pixel 4a 128gb used. Preference ni camera, kukaa na chaji.
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Je inawezekana kuunganisha king'amuzi kimoja(mfano Azam) na tv mbili au tatu vyumba tofauti ? Zote kuonesha channel chaneli iliyo chaguliwa sio shida.
1 Reactions
52 Replies
27K Views
App za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam...
5 Reactions
12 Replies
984 Views
Decoder ya Dstv ina reboot, haifungui channels. Tatizo limeanza jana mpaka leo bado linaendelea. Ni kwangu tu au kuna maintenance inaendelea?
0 Reactions
2 Replies
452 Views
Baada ya kutumia Flutter kwa takribani miezi 6. Nimeamua kuachana nayo rasmi na kufanya Native Mobile App Development. Hii ni kutokana na kutoridhishwa na performance ya Apps zinazotengenezwa kwa...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Habari wadau. Naombeni mwenye anajua namna kuirudisha account ya Twitter ifanye kazi anisaidie wadau. Account yangu imefungwa ina wiki moja na siku kadhaa sasa. Imekuwa- suspended, nimefwata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…