Kampuni ya Apple imeanza kufanya uchunguzi baada ya mwanamke mmoja kutoka china akiwa anaitumia huku ikiwa kwenye charge. Mwanamke huyo mwenye jina la Ma Ailun, from the Xinjiang region of...
Nisaidieni. Kwa maelezo briefly tu nitaelewa.
Tafadhali kila kipengele nipe briefly tu
Introduction
*- - - - Overview of SPSS
*- - - - Data input
*- - - - File important from other...
Aina gani ya laptop ni nzuri kwa kazi za graphics au gaming?
Mambo gani yakuzingatia au spec zipi zinazo faa?
Bei inaweza ikawa shilingi ngapi kwa used and new?
Mwenye uzoefu na mjuzi anijuze.
Habari wana JF
Natumia smartphone ya tecno Y3, ina RAM ya 512MB. Simu nmeshairoot. kwa sasa nataka RAM ifike walau mpaka 1GB. nakaribisha maoni yenu wanajamvi,
Ndugu wataalamu!
Ninatumia decoder ya continental ambayo ina kama mwez sasa haioneshi channels. Na ninachokiona kitu kigeni kwenye decoder hii ni kwamba ile taa ya green ambayo huwa inawaka...
Nlikuwa nataka kuitupa line yangu ya tigo ila sasa nmeahirisha kwa kweli. Jana asubuh nliondoka nyumban kwenda kwenye kibarua sijaacha kitu home kwa mke na watoto wawili maana hali yangu kiuchumi...
Habari wanajf,samahani naomba mnieleweshe maana ya ZIP CODE/POSTAL CODE na uwa zinakuwaje maana nikifunguaga baadhi ya account online uwa wanahitaji ZIP CODE/POSTAL CODE. Leo nilikuwa najiunga na...
Jamaa anauza Hp, i5, 8Gb ram, 700hdd touch screen, backlight keyboard, silver in color! Screen yake inazunguka na kuweza kukunjika kua kama tablet (laptop yote)
Waswas wangu ni hii rotating...
Output ninayoitaka kupitia hii simple program ni kama ifuatavyo
let say nina list mbili
list_one = 1, 2, 3
list_two = 5, 6, 7
kwa kutumia fuction ambayo ndani ina for loop...
habari za saa hizi waungwana
Nina simu ya Huawei memory yake ya ndani ni ndogo sana sasa nimekuwa niki download apps na kuziweka kwenye memory card lakin baada ya muda memory card zinakuwa...
Mwanzo imenitoka elfu ishirini kusetiwa tu likamate channel ila nilifunga mwenyewe,sasa nataka nifanye yote mwenyewe maana nimelihamisha upande, nielekezeni tafadhari ili from today niwe nafunga...
Ukiniuliza leo hii ni-invest kwenye nyanja gani ya teknolojia ya komputa hapa bongo nitakuambia kwenye data recovery services. Still hatuna makampuni yanayoeleweka na kuweza kufanya hii kazi kwa...