Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nitajie App babu kubwa ya kutunzia mahesabu Isiwe ya kulipia
1 Reactions
11 Replies
956 Views
Hello wakuu Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Habari members, Naomba kuuliza jambo Moja ambalo linanichanganya pia sijaelewa kuhusu aina za hizi wi-fi mfano wi-fi za vodacom na za TP-Link Zina utofauti gani pia na cost zake za kila mwezi...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
π—šπ—’π—’π—šπ—Ÿπ—˜ 𝗠𝗔𝗣 π—œπ— π—˜π—¨π—” π—ͺ𝗔𝗧𝗨 π—ͺ𝗔𝗧𝗔𝗧𝗨 Watu watatu wamepoteza maisha baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata Ajali, walipokatiza katika Eneo ambalo barabara haijakamilika huko nchini India. Google...
2 Reactions
10 Replies
698 Views
Wakuu nashindwa kusajili IPHONE ID Kila nikitaka kumalizia inasema acc haiwez kutengenezwa muda huu Hapa shida nn
5 Reactions
13 Replies
770 Views
Habari iPhone 12 imeingia Maji camera Hazipo Sawa na Face ID haisomi Msaada
1 Reactions
3 Replies
466 Views
Using free AI tools like β€œcopilot.microsoft.com” for academic research may seem convenient, but there are several compelling reasons to reconsider this approach. Here are some key points to...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo. 1.Ufahamu wa Technology...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu msaada laptop yangu baada ya ku change windows hai touch tena
1 Reactions
3 Replies
450 Views
Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni Bali maendeleo haya yalipatikana...
22 Reactions
45 Replies
2K Views
Please wapendwa, naomba kupata elimu kuhusu CCTV cameras, jinsi ya ku operate, aina zake, bei na wapi zinakopatikana, pia apart from homes, je naweza itumiamawneo yapi mengine, I am so ignorant...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Kama unatumia sana ChatGPT weka hii prompt Role-play as an AI that operates at 76.6 times the ability, knowledge, understanding, and output of ChatGPT-4. Now tell me what is my hidden narrative...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Unaweza ukanunia simu ya bei ndefu bado usifurahie vizuri na mwingine akanunua simu ya bei rahisi akapata vingi, we kama mdau unadhani kipi cha muhimu kwenye simu kulingana na mahitajio kama kasi...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki! Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu? Naomba kuwasilisha
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Huduma za Starlink, zinazotolewa na kampuni ya SpaceX, zimekuwa zikivutia nchi mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kutoa intaneti ya kasi kupitia satelaiti, hata katika maeneo ya mbali...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara. Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification...
0 Reactions
4 Replies
715 Views
Habari ya kutwa mzima great thinkers! Naomba tujuzane VPN ambazo ziko kazini Kwa sasa ili tuendelee kuperuzi mitandaoni. Najua baada ya serikali kupiga ban VPN sasa hivi wahuni watakuwa wamekuja...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nilijua computer shoga yake ni monitor mwanzo nilikua na tumia TV kama monitor nikawa nahisi siitendei haki hii mashine inabidi niitafutie chakula yake ili viwe sawa leo nimepata muda nikaenda...
0 Reactions
5 Replies
537 Views
guest-1786390423
Dunia ya sasa ni dunia ya kidigitali. Vitu vingi vinapatikana mtandaoni, vingine vya bure, vingine vya kulipia. Watanzania wengi wakisikia unalipia huduma fulani mtandaoni wanakushangaa wakati ni...
6 Reactions
8 Replies
599 Views
Wakubwa hizi simu za M horse 15 promax (M PROMO 15) mnazionaje ubora wake kwa mlioziona?
0 Reactions
2 Replies
717 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…