Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

1 Vote
Teknolojia ina jukumu muhimu katika kuendesha maendeleo ya kisasa na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inapaswa kulenga katika kukuza matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Upvote 1
2 Votes
Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vizazi vijavyo kwa mafanikio na ustawi wa taifa. Hapa, tunaangazia mawazo bunifu yanayoweza...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Upvote 2
2 Votes
Ukuaji wa taifa lolote wenye kuleta tija unategemea nguvukazi kubwa sana ya vijana wake. Mathalani, rasilimali hii adhimu ya taifa imejikuta ikiachwa nyuma sana katika hatua mbalimbali za...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Upvote 2
2 Votes
UTANGULIZI Katika juhudi za kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana nchini Tanzania, serikali pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo waanzishe kliniki maalumu za...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Upvote 2
4 Votes
Picha kutoka shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania. Mungu hajakosea kumfanya kila mmoja wetu jinsi alivyo,japo kati yetu kuna walemavu ambao huwa na matatizo au upungufu wa...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
Upvote 4
4 Votes
TANZANIA TUITAKAYO: KUWEKEZA KATIKA TEKNOLOJIA YA HALI YA JUU KWA MUSTAKABALI WA TAIFA Utangulizi Katika ulimwengu wa sasa, teknolojia ya hali ya juu imekuwa msingi wa maendeleo ya kiuchumi na...
1 Reactions
0 Replies
624 Views
Upvote 4
3 Votes
The Parched Village In the village of Mwaloni, a young girl named Neema stares despondently at the cracked, dry basin that was once her community's well. Forced to abandon school and embark on an...
1 Reactions
3 Replies
432 Views
Upvote 3
4 Votes
Makala haya yanaangazia suluhisho la kina na mikakati ya kukabiliana na mfumuko wa bei, kukuza uchumi thabiti na unaostawi katika kipindi cha miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo. Suluhu za Muda Mfupi...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Upvote 4
4 Votes
TAKUKURU - Taasisi Ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa jukumu lake mama ni kupambana na rushwa na ufisadi nchini. Hata hivyo, ufanisi wa juhudi hizi unategemea sana uwezo wa wananchi kutoa taarifa za...
1 Reactions
0 Replies
304 Views
Upvote 4
3 Votes
Kama taifa ili kukua kiuchumi yafuatayo yanaweza saidia kulifikisha taifa sehemu nzuri ya kimaendeleo 1.kuweka Dira ya pamoja kama taifa ambayo itaonesha mipango mikakati ya mda mrefu na mda mfupi...
1 Reactions
0 Replies
320 Views
Upvote 3
2 Votes
Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Upvote 2
2 Votes
1. Kukuza Uchumi Shirikishi na Endelevu Dhana: Viongozi wanapaswa kuzingatia kukuza uchumi unaonufaisha wananchi wote na unaotegemea rasilimali endelevu. Mikakati: Kuwekeza katika sekta za...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Upvote 2
3 Votes
Suala la ajira limekuwa tatizo kubwa sana nchini na ukiangalia kila kukicha watu wanaongezeka na wengine kujikuta wakiwa katika msongo wa mawazo licha ya kuwa na elimu lakini wanashindwa kuhimili...
1 Reactions
1 Replies
460 Views
Upvote 3
3 Votes
TANZANIA TUITAKAYO Asubuhi na mapema unaamka ndani ya nyumba yako ya wastani, kutokana na kipato chako kutokuwa toshelevu. Homa nayo inakushika, unasita kwenda mihangaikoni siku hiyo. Suluhu...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Upvote 3
2 Votes
Kama nchi itunge na kusimamia sheria ya maziko itakayokataza kuzika watu kwenye makaburi ya zege kuanzia chini mpaka juu. Haina hii ya mazishi inaathari kubwa kwenye mabadiliko ya tabia ya nchi...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Upvote 2
5 Votes
UTANGULIZI. MALEZI ENDELEVU INITIATIVE (MEI) ni wazo la kuandaa mfumo kamili wa kumlea Mtoto wa kitanzania kabla ya kuzaliwa, kuzaliwa mpaka utu uzima ili kujenga Tanzania imara na endelevu. MEI...
1 Reactions
0 Replies
296 Views
Upvote 5
3 Votes
Jamii inatakiwa kubadili mtazamo dhidi ya watu wenye ulemavu. Kwani baadhi ya watu kwenye jamii zetu wanawachukulia watu wenye ulemavu kama kiumbe dhaifu.watu wenye ulemavu kwenye jamii...
1 Reactions
0 Replies
322 Views
Upvote 3
3 Votes
Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao. Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa...
1 Reactions
0 Replies
333 Views
Upvote 3
3 Votes
UTANGULIZI Mapinduzi matatu ya viwanda yaliopita yalileta maendeleo ya kiteknolojia ambayo yalibadilisha kwa kiasi kikubwa hali ya kiuchumi na kijamii, hivyo kulihitajika marekebisho ya kisheria...
1 Reactions
0 Replies
314 Views
Upvote 3
4 Votes
Utamaduni wa watu kuzika watu kwenye makaburi ya zege unamadhara makubwa kwenye mabadiliko ya hali ya hewa. Binadamu na wanyama tunakula mazao ya ardhini,tumekata ecosystem kwa kutorudisha vinyesi...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Upvote 4
Back
Top Bottom