Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

0 Votes
UTANGULIZI. Walimu wamekuwa chachu na msaada mkubwa sana katika taifa letu, kwani wao ndiyo daraja la mafanikio ya watu wengi, tunakubaliana kuwa, walimu wamekuwa kama wazazi/walezi wetu na kuna...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Upvote 0
6 Votes
Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano hii inaainisha mikakati ya kuboresha sekta mbalimbali za uchumi nchini Tanzania kwa miaka mitano ijayo, ikilenga kuimarisha uchimbaji madini, nishati mbadala...
0 Reactions
2 Replies
262 Views
Upvote 6
1 Vote
TANZANIA TUITAKAYO: Mageuzi Endelevu ya Kiuchumi katika Miaka 5 Hadi 25 Utangulizi Katika juhudi za kuleta mageuzi endelevu ya kiuchumi, Tanzania inahitaji kuwa na mikakati madhubuti na mipango...
0 Reactions
2 Replies
355 Views
Upvote 1
1 Vote
UTANGULIZI Ongezeko la mahitaji ya taulo za kike limekuwa kubwa kutokana na elimu ya umuhimu wa kutunza afya kwa wasichana na wanawake ambayo imekuwa ikitolewa nchini Tanzania kwa njia mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Upvote 1
1 Vote
Utangulizi Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia...
1 Reactions
0 Replies
562 Views
Upvote 1
1 Vote
Afya ndiyo mtaji wa maisha ya binaadamu,bila kuwa na afya bora huwezi kufanya shughuli za uzalishaji mali na badala yake ni kupoteza kile ulichokuwa ukikifanya kama chanzo cha mapato, sababu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Upvote 1
1 Vote
Tanzania is a country with great potential for economic growth and development. However, in order to achieve significant progress in the next five to ten years, there are several key areas that...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Upvote 1
1 Vote
Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata...
1 Reactions
0 Replies
312 Views
Upvote 1
1 Vote
Tunapozungumzia ukuaji wa maendeleo hapa nchini,hatuwezi kusahau matumizi ya nishati mbadala ya gesi safi ya kupikia majumbani. Inakadiriwa zaidi ya hekta 469,420 ya misitu huharibiwa kila mwaka...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Upvote 1
1 Vote
UTANGULIZI. Taifa lolote ili liendelee linahitaji watu ambao watapandikizwa elimu sahihi, Elimu sahihi inajengwa na mfumo bora wa elimu. Kulingana na ulimwengu tuliopo sasa ili kupiga hatua...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Upvote 1
1 Vote
THE STORY OF CHANGE Kutokana na ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania bara kutoka milioni 33.5 sensa ya mwaka 2002 hadi milioni 44.92 sensa ya mwaka 2012, na kufikia milioni 59.851 sensa ya...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Upvote 1
2 Votes
Wizara ya ardhi ni miongoni mwa sekta nyeti sana ambayo mtu yeyote anayepewa nafasi ya kuiongoza wizara hii hapaswi kucheza nayo hata kidogo mathalani viongozi wa vijiji na watendaji wote katika...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Upvote 2
0 Votes
Nashauri bajeti ya Wizara ya Ulinzi iongezwe kwa kiasi kikubwa sana, ili kuliwezesha jeshi letu kwenda na kasi ya maendeleo ya kijeshi duniani. Pia vigezo vya kujiunga na jeshi viangaliwe. Yaani...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Upvote 0
1 Vote
Ni jioni tulivu kabisa, naamua kuperuzi mtandaoni kupitia simu yangu ya kiganjani. nakutana na tangazo kutoka jamii forums linalohusu stories for change, ambalo kama nitaamua kushiriki napaswa...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Upvote 1
1 Vote
TANZANIA YA KESHO NA UTALII Tanzania ni miongoni mwa nchi pekee barani africa na duniani kote kwa ujumla kwakuwa na vivutio vingi ikiwemo mbuga za wanyama, mapori, mito pamoja na safu za...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Upvote 1
1 Vote
Disability Inclusive Culture in Tanzania. Introduction: - According to the 2012 Tanzanian Census, there were 2,772,032 people with disabilities in the country, which represents 6.2% of the total...
2 Reactions
0 Replies
440 Views
Upvote 1
2 Votes
Jukumu la Serikali Kutoa Kipaumbele kwa Maendeleo ya Vijijini Katika nchi yangu ya Tanzania, kuna hali inayozidi kuonekana ambapo serikali inatoa kipaumbele zaidi kwa maeneo ya mijini kuliko...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Upvote 2
2 Votes
1 elimu tulio nayo atuna uhitaji nayo kwa sasa. tuzalishe watoto wenye ujuzi mbali mbali wasome Toka darasa la 5 2 tupuguze muda wa kukaa darasani muda mwingi wa kusoma unafanya elimu isiwe...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Upvote 2
2 Votes
Maono yangu kuhusu TANZANIA TUITAKAYO yamejikita katika nyanja 6 ambazo ni elimu, afya, Teknolojia, uchumi, mazingira na miundombinu. 1. ELIMU. -serikali kuendeleza mchakato wa elimu ya watu...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Upvote 2
1 Vote
Tanzania ni nchi inayopatikana ndani ya bara la Africa na ipo kwenye ukanda wa Afrika ya mashariki pia kusini mwa jangwa la sahara,ni nchi inayoundwa na nchi mbili ambazo ziliamua kuungana mnamo...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom