Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

1 Vote
Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania...
0 Reactions
4 Replies
570 Views
Upvote 1
2 Votes
Familia na dini zimekuwa zikiaminika kama taasisi muhimu katika hatua za awali za malezi na makuzi ya watoto wadogo na hata vijana wa rika balehe kwa kuwapa mafunzo na miongozo inyowajenga...
1 Reactions
1 Replies
496 Views
Upvote 2
3 Votes
Katika kutafuta Tanzania yenye maendeleo endelevu na ustawi wa jamii, sekta ya elimu imebeba jukumu kubwa na la msingi. Elimu ni ufunguo wa maendeleo na mabadiliko chanya katika jamii yoyote ile...
1 Reactions
2 Replies
474 Views
Upvote 3
2 Votes
Tumeona serekali yetu ikitekeleza miradi mipya ya kimikakati mikubwa kama ujenzi wa reli ya kisasa mabasi ya mwendo kasi na bwawa la kufua umeme la mwalimu nyerere hii yote ikiwa ni mipango na...
1 Reactions
0 Replies
396 Views
Upvote 2
1 Vote
Katika nchi nyingi za kidemokrasia raia wana jukumu kubwa katika mchakato wa kupanga bajeti ya nchi, kuhakikisha uwazi, uwajibikaji, na mwitikio kwa mahitaji ya Umma. Miongoni mwao nchi hizo ni...
3 Reactions
0 Replies
522 Views
Upvote 1
1 Vote
Namuomba Mwenyezi Mungu ajaalie andiko hili liwe lenye manufaa kwa Nchi yangu na kwa kila atakayebahatika kulisoma. Ama, kwakuwa ni mpenzi wa lugha asharafu ya kiswahili na pia ni Mtunzi wa...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
Upvote 1
2 Votes
Utangulizi Lugha ya Kiswahili ni moja kati ya lugha zinazokua kwa kasi ndani na nje ya bara la Afrika. Mpaka sasa, takribani nchi zaidi ya kumi zinatumia Kiswahili barani Afrika kama lugha ya...
1 Reactions
0 Replies
706 Views
Upvote 2
1 Vote
TANZANIA TUITAKAYO : ELIMU YA VYUO VYA UFUNDI IWE LAZIMA KISHERIA KWA VIJANA WOTE WANAOSHINDWA KUENDELEA ELIMU YA JUU. UTANGULIZI. Awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
1 Replies
703 Views
Upvote 1
2 Votes
Hili ni suala dhamira ya kuelekea mustakabali wa Tanzania katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Kwa muhtasari, maudhui muhimu yanayoweza kuzingatiwa ni: 1. Maendeleo endelevu na upatikanaji wa...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Upvote 2
6 Votes
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo mabadiliko ya kiteknolojia na kijamii yanaendelea kwa kasi, nchi nyingi zinafikiria mbinu za kipekee za kushughulikia masuala ya ajira na ustawi wa kiuchumi. Moja...
1 Reactions
6 Replies
591 Views
Upvote 6
4 Votes
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, imekumbwa na changamoto ya rushwa kwa muda mrefu. Hata hivyo, inawezekana kufuta kabisa tatizo hili kwa kutumia mikakati madhubuti. Mataifa mbalimbali, hasa...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Upvote 4
9 Votes
Kufanya Mapinduzi Makubwa ya Viwanda Tanzania Katika Miaka 15 Ijayo: Mkakati wa Kutekeleza Ili kufanikisha mapinduzi makubwa ya viwanda nchini Tanzania katika miaka 15 ijayo, juhudi za pamoja na...
2 Reactions
2 Replies
583 Views
Upvote 9
190 Votes
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ni mpango wa bima ya afya ya umma nchini Tanzania. Mfuko huu ulianzishwa mwaka 2002 kwa Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Sura ya 395 ya Sheria za...
34 Reactions
39 Replies
3K Views
Upvote 190
3 Votes
Introduction. Tanzania, like many other developing countries, faces a unique set of health challenges. In order to address these issues, the comprehensive approaches that consider the social...
1 Reactions
0 Replies
575 Views
Upvote 3
1 Vote
UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya...
1 Reactions
0 Replies
370 Views
Upvote 1
2 Votes
Khairooni ni binti mwenye umri wa miak 27. Nimeamua kuwa mmoja wapo wa washiriki wa SHINDANO LA JAMII FORUMS. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa afya na uhai pia kunijalia...
2 Reactions
0 Replies
274 Views
Upvote 2
1 Vote
Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
0 Votes
UTANGULIZI. Walimu wamekuwa chachu na msaada mkubwa sana katika taifa letu, kwani wao ndiyo daraja la mafanikio ya watu wengi, tunakubaliana kuwa, walimu wamekuwa kama wazazi/walezi wetu na kuna...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Upvote 0
6 Votes
Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano hii inaainisha mikakati ya kuboresha sekta mbalimbali za uchumi nchini Tanzania kwa miaka mitano ijayo, ikilenga kuimarisha uchimbaji madini, nishati mbadala...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Upvote 6
1 Vote
TANZANIA TUITAKAYO: Mageuzi Endelevu ya Kiuchumi katika Miaka 5 Hadi 25 Utangulizi Katika juhudi za kuleta mageuzi endelevu ya kiuchumi, Tanzania inahitaji kuwa na mikakati madhubuti na mipango...
0 Reactions
2 Replies
378 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom