Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

2 Votes
UTANGULIZI Tanzania imeendelea kukumbwa na changamoto ya ukatili kwa makundi mbalimbali, watoto wakiwa ni miongoni mwa kundi hili. Kundi hili limekua likikumbwa na adha za ukatili wa jinsi, ndoa...
0 Reactions
6 Replies
568 Views
Upvote 2
9 Votes
Utangulizi Wazo kuu ni kuboresha mchakato wa ununuzi wa umeme ili kuruhusu kuwaka moja kwa moja (automatic) mara baada ya units za umeme kununuliwa na mtumiaji, mfumo huu (HeWasha) unalenga...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Upvote 9
4 Votes
Idadi ya wazee Tanzania Kwa mujibu wa sensa ya 2022 Tanzania ina jumla ya wazee 7,469,714 chini ya mgawanyo wa wazee 7,294,654 Tanzania bara na 175,060 Tanzania Zanzibar,( Ripoti ya Mgawanyo wa...
1 Reactions
8 Replies
640 Views
Upvote 4
2 Votes
Ukatili wa kijinsia kwa watoto ni kitendo chochote anachoweza kufanyiwa mtoto na kikasababishia madhara ya kimwili, kisaikolojia na kiafya. Ukatili wa kijinsia kwa watoto unaweza kusababisha...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Upvote 2
3 Votes
TANZANIA TUITAKAYO: MAONO YA KIBUNIFU KWA MIAKA 5, 10, 15 HADI 25 IJAYO Utangulizi Tanzania, taifa lenye rasilimali nyingi na watu wenye ari ya maendeleo, linahitaji kuwa na maono ya kibunifu na...
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Upvote 3
2 Votes
The governmental educational policies of Tanzania need to be revised to accommodate meritorious students from poorer communities and provide them with an equal platform for competing against...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Upvote 2
3 Votes
Katika kuangalia usawa na udhibiti kwa ndugu zetu wanaoendesha vyombo vya moto vya pikipiki maarufu bodaboda nimeona tatizo halipo kwa madereva tu bali hata kwa abiria wao, mfano unakuta abiria...
1 Reactions
0 Replies
353 Views
Upvote 3
4 Votes
Tuanze kuwaza sasa kama nchi kubadilisha sheria zinazo simamia haya mashirika ya umma ili kuongeza ufanisi. Mashirika mengi ya umma yanalalimikiwa kwamba hayana ufanisi, yanajiendesha kwa hara...
2 Reactions
4 Replies
575 Views
Upvote 4
6 Votes
Utalii ni Neno Pana na lenye manufaa makubwa kwenye uchumi wa taifa letu la Tanzania. Uchumi wa nchi yetu ya Tanzania unategemea rasilimali mbalimbali ikiwemo rasilimali inayohusisha vivutio vya...
1 Reactions
0 Replies
344 Views
Upvote 6
4 Votes
Tufe njaa kwa kulinda misitu? mkulima na kiongozi katika hili Nani asikilizwe? Katika maisha ya sasa na siasa mwanasiasa anasimamia Sera za nchi mkulima anavunja Sera za nchi kumlisha mtunga...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Upvote 4
4 Votes
Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa wakoloni katika bara la Afrika sisi tulikuwa wamoja kwa kushirikiana katika kila kitu kilicho husiana na Ubuntu wetu kwa kutokuwekeana mipaka katika bara letu. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Upvote 4
4 Votes
Mazungumzo na mwanangu: Jioni moja kwenye mazungumzo na mwanangu nikamtajia wazo langu kuwa, ingekuwa vema angeingia kwenye siasa, kwa vile nafikiri hapo baadae angeweza kupata nafasi ya uongozi...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Upvote 4
4 Votes
Mfumo wa soko la ndani wa mazao na bidhaa za kilimo (na uvuvi) kwa kiasi kikubwa unaendeleza dhulma na unyonyaji kwa wazalishaji mali hizo. Ijapokuwa zipo jitihada za serikali zenye kukusudia...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Upvote 4
4 Votes
Tanzania tuitakayo Ofisi ya CAG ipewe mamlaka kamili Kama chombo kinachojitegemea na kujitosheleza Kama ilivyo TAKUKURU. Yaani wawe na mamlaka ya kumfikisha mahakamani na kumfungulia mashitaka...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Upvote 4
6 Votes
UTANGULIZI Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali kupitia miradi mbalimbali kitu kinachopelekea serikali kupoteza fedha nyingi pasipo kuwa na ulazima na mara...
0 Reactions
4 Replies
494 Views
Upvote 6
4 Votes
Moja Kati mambo yanayoongeza ufanisi wa maendeleo ni kuongezeka kwa vijana wasioathirika na mpenzi katika kazi zao za kiuchumi,, hivyo inasemekana kufikia miaka kumi tangu 2024 vijana wengi...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Upvote 4
7 Votes
Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza...
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Upvote 7
8 Votes
Utangulizi Tanzania tuitakayo ni ile ambayo imejenga sekta za kisasa za maendeleo na sekta mojawapo kuu ikiwa ni viwanda; ambayo itachangia hali ya maisha ya watu wake kuwa bora kwa kuongeza pato...
3 Reactions
2 Replies
355 Views
Upvote 8
2 Votes
Tanzania pamekuwa na ubadhilifu wa mali za Umma Kila siku lakini hakuna uwajibishwaji wa wale wanaohusika hadi inapelekea kuwa KAWAIDA na wengine hutamani kuiba! Hii ni Kwa sababu 1. Hakuna...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Upvote 2
5 Votes
KESHO YA TANZANIA INATEGEMEA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA. 1.0. Utangulizi. Teknolojia, kulingana na ensaiklopedia ya Britannica inaamanisha utumiaji wa maarifa ya kisayansi kwa vitendo kwaajili ya...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Upvote 5
Back
Top Bottom