Uchaguzi wa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,huchaguliwa kila baada ya miaka mitano baada ya miaka hiyo hulazimika tena kurudi kwa wananchi na kuomba kura tena,mara nyingi maraisi wa...
Robo karne ijayo Tanzania itakuwa katika nafasi bora ya kiuchumi hili ni jambo la kutia moyo.
Hakuna jambo jema likosalo changamoto zake, changamoto kubwa wa ukuaji wa uchumi ni ongezeko la watu...
Imewahi kunukuliwa kwa viongozi waliopita wa Taifa letu na kitu ambacho ni ukweli ya kwamba nchi yetu ni tajiri, Na utajiri wetu unajidhihirisha katika rasilimali zetu za asili kwa maana ya...
Uchukuzi na teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ni muhimu Sana kwa usatawi wa nchi ya Tanzania kwa kuchangia Pato la Taifa. Uchukuzi hujumuisha bahari(bandari), usafirishaji wa anga...
The Tanzanite Revolution: How Women Miners Are Transforming the Heart of Tanzania
Beneath the scorching sun of Tanzania's mining heartlands, a seismic shift is underway—not with the rumble of...
Tanzania Tuitakayo
Na Ndugu. Godlisten Mwasha.
Mabadiliko ya kiuchumi, elimu, huduma za afya, na utawala ni nguzo muhimu kwa maendeleo endelevu ya taifa letu la Tanzania. Katika karne ya 21, ni...
UTANGULIZI
Kwa takribani kipindi cha miaka 8 mfululizo nchini Tanzania (2016-2024) matukio ya watu kutekwa nyara, kupotezwa na hata kushambuliwa au kuuawa na watu wasiojulikana huku wahusika wa...
NURU YA TANZANIA MIAKA KUMI IJAYO SEKTA YA ELIMU
'' Elimu ni ufunguo wa maisha '', huu ni wimbo mkubwa Kwa wanafunzi unaonesha umuhimu wa Elimu katika jamii. Elimu ni ujuzi unaomwezesha mtu...
TANZANIA NINAYOITAMANI BAADA YA MIAKA MITANO
Kila kitu katika hii dunia lazima kupitia nyakati tatu, wakati uliopita ambao unakuwa kama sehemu ya kurejelea yote tuliofanya nyuma, wakati uliopo...
Katika dunia ya sasa na kuongezeka kwa kampuni nyingi za upimaji ardhi na kuuza ardhi real estate. Ni fursa kubwa kwa serikali na wizara ya ardhi kufanya jitihada ya kuboresha huduma ya upimaji...
FOLLOW JUSTICE AND JUSTICE ALONE
The notion of justice is more ancient than that of law. The concept of justice is based upon and is equated with moral rightness (ethics), rationality, law...
Challenges Facing the Tourism Industry in Tanzania and Proposed Solutions for Improvement
Tanzania, with its diverse wildlife, rich cultural heritage, and stunning landscapes, has long been a...
In today's digital age, where communication happens at lightning speed through texts, tweets, and posts, the importance of spelling and reading often gets overshadowed. For Generation Z, born into...
TANZANIA TUITAKAYO MIAKA 5 HADI 25 IJAYO
Ndoto yetu kwa Tanzania katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo ni kuwa taifa lenye maendeleo endelevu, ustawi wa jamii, na mazingira endelevu...
Kilimo ni shughuli ya kibinadamu inayohusika na uzalishaji wa mazao yanayotokana na wanyama pia mimiea.
Kutokana na ongezeko la idadi ya watu na mahitaji ya chakula cha binadamu na wanyama pia...
In Tanzania, individuals with hearing disabilities face significant challenges accessing opportunities in both the private and government sectors. This issue not only affects their personal...
Tanzania imara Baada ya Miaka mitano , kumi ama zaidi haitawezekana pasina Jitihada za Pamoja baina ya serikali na Wananchi kupitia Asasi za kiserikali na zisizo za kiserikali.
Aidha jitihada hizo...
In Tanzania, like in many parts of the world, university students face significant challenges when entering the job market. The transition from academia to employment can be daunting due to...
Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika...
Kijiji cha Songambele ni kijiji kilichopo nje kidogo na mji mkuu wa nchi. Wananchi wa kijiji hiki wamekua wakijihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji ili kuweza kujikwamua na wimbi la umaskini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.