Stories of Change 2024

Awamu ya Nne. Tanzania Tuitakayo: Maudhui yanayolenga kuibua fikra tunduizi au mawazo mbadala kuelekea miaka 5 hadi 25

On JF:

2 Votes
Mfumo Mbovu wa Elimu: Kikwazo Kikuu kwa Maendeleo ya Tanzania Elimu ndio kitovu cha maendeleo katika Nyanja zote za Maisha katika nchi na Maisha binafsi ya mtu, kwa bahati mbaya mfumo ambao...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Upvote 2
1 Vote
Ni Mara Kadhaa tumekuwa tukishuhudia jitihada za Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Katika kuhakikisha huduma bora kwa Wananchi wake kwa Kupitisha Bajeti ambayo kila mwaka inaongezeka...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Upvote 1
3 Votes
Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo Utangulizi Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye bidii, ina fursa kubwa ya kufanikisha maendeleo...
1 Reactions
0 Replies
369 Views
Upvote 3
477 Votes
Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya...
124 Reactions
28 Replies
5K Views
Upvote 477
1 Vote
Najivunia sana nchi yangu Tanzania kuwa ni kubwa barani Afrika, ikiwa imesheheni tunu nyingi kama vile ardhi yenye baraka nyingi, utalii, uvuvi, kilimo, viwanda, na sekta nyingi zaidi. Licha ya...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Upvote 1
3 Votes
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda nchi yake kiasi cha kuifia alisikika mtu alisema. Ukarimu na amani ni sifa kadhaa zinazoskika Kwa watu wa njee juu ya nchi yangu Tanzania. Kilio changu katika...
1 Reactions
0 Replies
182 Views
Upvote 3
7 Votes
TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI. Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa...
2 Reactions
4 Replies
458 Views
Upvote 7
6 Votes
UTANGULIZI. Utawala bora ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya kiuchumi, kidemokrasia, kijamii na hata maandeleo ya mtu mmoja mmoja. Utawala bora ni zoezi la viongozi katika ngazi zote kusimamia...
1 Reactions
1 Replies
370 Views
Upvote 6
5 Votes
Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali na vipaji. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, tunaweza kutumia ubunifu kama kichocheo cha maendeleo endelevu na kujenga taifa lenye...
1 Reactions
1 Replies
310 Views
Upvote 5
1 Vote
Miundombinu hurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii Jamii inahitaji miundombinu bora ya barabara, maji, umeme, reli, hospitali, shule nk. Serikali imejitahidi sana kujenga miundombinu ya kutolea...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Upvote 1
2 Votes
Kama raia wa Tanzania mwenye kipato cha kawaida au cha chini, kumiliki ardhi au nyumba ni mtihani mgumu unao hitaji maarifa mengi na hesabu kali. Kadri siku zinavyo zidi kusonga, bei ya ardhi...
1 Reactions
0 Replies
490 Views
Upvote 2
2 Votes
MTANZANIA MWENYE TANZANIA TUITAKAYO Je, ni nani mwenye Tanzania tuitakayo? Ndugu msomaji, natamani tuzungumzie kwa pamoja suala la Tanzania tuitakayo. Leo hii utakubaliana na mimi kuna...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
Upvote 2
5 Votes
Ili Tanzania ya sasa na ijayo iweze kukabiliana na kuondoa tatizo la kuporomoka kwa thamani ya shilingi na uchumi kwa ujumla pamoja uhaba wa fedha za kigeni, ni vema sisi kama Tanzania tuchague...
1 Reactions
1 Replies
232 Views
Upvote 5
3 Votes
Tanzania ni moja ya nchi ambayo haiwezi kukwepa matumizi ya sayansi na teknolojia katika kuendeleza uchumi wake. Taasisi za umma zinaongoza kwa kuwa na huduma isiyoridhisha kwa upande wa...
1 Reactions
1 Replies
288 Views
Upvote 3
1 Vote
Kufikia Tanzania tuitakayo ni lazima kuhakikisha kuwa Vyanzo vikuu vya maji vinatunzwa na kulindwa ipasavyo kwakuwa Nchi inaweza kuweka malengo pamoja na mipango madhubuti kabisa lakini bila...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Upvote 1
0 Votes
Kwanini Mimi rafiki yake Sisi? 1. Kuielimisha na kujenga jamii nzima(sisi) Ni lazima ianze na mtu mmoja mmoja(Mimi) 2. Hatuwezi kuwa na jamii ya werevu ikiwa Kila mtu ni mjinga. Tunahitajika...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Upvote 0
5 Votes
Naam. Ni wasaa mwingine ambao tupo kusoma dira vizuri ili tusipotee katika mwelekeo wa safari yetu kuitafuta TANZANIA Bora Zaidi. Bila kupoteza muda niende Moja Kwa moja nikibainisha wazi ya...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Upvote 5
4 Votes
Utangulizi Tuzo ni alama ya heshima na kutambua mchango mkubwa na mafanikio katika sekta mbalimbali za maisha. Katika muktadha wa bunge, tuzo za ubunge huchukua jukumu muhimu katika kuenzi uongozi...
1 Reactions
1 Replies
243 Views
Upvote 4
2 Votes
PREMISE For all countries in the world, balance of trade is a very important aspect that can make or break the country and its economy. Balance of trade is the difference between all imports and...
1 Reactions
0 Replies
365 Views
Upvote 2
1 Vote
Tanzania ni Moja ya nchi zilizo na maendeleo endelevu katika sekta mbalimbali,kulingana na takwimu mbalimbali zikionesha hali halisi ya Tanzania tangu mwaka 2021 mpaka matazamio ya mwaka...
1 Reactions
0 Replies
247 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom